Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Huyu bwabwa huyu Jemedari Said Kazumari mbwiga fulani hivi ni wa kupuuzwa tu. Kila siku domo lake lililochacha kuiongelea Yanga mabaya tu.Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho
Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya Simba yalipaswa kuthaminiwa zaidi kuliko ya Yanga na sio kupewa thamani ya milioni 5 yote
Jamaa kasema timu zinazofanya vibaya Champions League (mfano Yanga) hupelekwa kucheza Shirikisho kitu ambacho kinathibitisha utofauti wa ubora