Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho

Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya Simba yalipaswa kuthaminiwa zaidi kuliko ya Yanga na sio kupewa thamani ya milioni 5 yote

Jamaa kasema timu zinazofanya vibaya Champions League (mfano Yanga) hupelekwa kucheza Shirikisho kitu ambacho kinathibitisha utofauti wa ubora
Huyu bwabwa huyu Jemedari Said Kazumari mbwiga fulani hivi ni wa kupuuzwa tu. Kila siku domo lake lililochacha kuiongelea Yanga mabaya tu.
 
Ukweli ni kwamba mashindano ya mabingwa ni magumu kuliko shirikisho.
Na sababu iko wazi: ukikwama mabingwa unaingizwa shirikisho
Kama unataka uhalisia huo basi tuambie SIMBA anacheza club bingwa akiwa ni bingwa wa msimu upi?
 
Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho.

Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya Simba yalipaswa kuthaminiwa zaidi kuliko ya Yanga na sio kupewa thamani ya milioni 5 yote.

Jamaa kasema timu zinazofanya vibaya Champions League (mfano Yanga) hupelekwa kucheza Shirikisho kitu ambacho kinathibitisha utofauti wa ubora.
Wanateswa sana na mafanikio ya Yanga, msimu uliopita wakati Simba wanacheza shirikisho wachambuzi hao hao walisema Yanga hawana timu ya kucheza mashindano ya caf
Sasa wapo shirikisho na wanapata matokeo kwa kuwazidi wapinzani wao kila idara, hata mechi walizopoteza bado waliweza kumiliki dimba kila eneo, sasa wachambuzi wamegeuka na kusema shirikisho halina hadhi, wakati wanasifia ugumu wa mashindano ya caf hawakujua kwamba Simba walikuwa wanacheza shirikisho?
 
Vigezo vipi unatumia kupata thamani ya goli? Na ni vigezo vilivyo thibitishwa na FIFA au mtu anajiamulia tu?

Udogo wa mashindano unapimwa kwa nini?
Thamani ya goli kaipima kwa kutumia ukubwa na thamani ya mashindano. Mfano Goli linalofungwa Epl na Halaand lina thamani sawa duniani na goli linalofungwa NBC pl na Mayele au Kibu?

Udogo wa mashindano unapimwa na thamani ya mashindano, aina ya washidanaji na ukubwa wa ushindani.
 
Kama unataka uhalisia huo basi tuambie SIMBA anacheza club bingwa akiwa ni bingwa wa msimu upi?
Unaweza ukawa bingwa kimchongo kama ambavyo yanga huwa anachukua ubingwa ila ubora huwa unadhihirika huku kwenye mashindano ya kimataifa, ndio maana hukumbuki mara ya mwisho timu lako kuingia makundi ya caf champions league ilikua ni lini,, na hata tunavyo zungumza sasa, upo shirikisho unaruka ruka na maluza wenzio
 
U-simba na U-yanga msiyalete kwenye mambo ya kitaifa.
Mkirudi kwenye ligi yetu ya ndani parurareni
 
Thamani ya goli kaipima kwa kutumia ukubwa na thamani ya mashindano. Mfano Goli linalofungwa Epl na Halaand lina thamani sawa duniani na goli linalofungwa NBC pl na Mayele au Kibu?

Udogo wa mashindano unapimwa na thamani ya mashindano, aina ya washidanaji na ukubwa wa ushindani.
Bado hujajibu je thamani ya goli inapatikana kwa vigezo vipi?
 
Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho.

Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya Simba yalipaswa kuthaminiwa zaidi kuliko ya Yanga na sio kupewa thamani ya milioni 5 yote.

Jamaa kasema timu zinazofanya vibaya Champions League (mfano Yanga) hupelekwa kucheza Shirikisho kitu ambacho kinathibitisha utofauti wa ubora.
Sisikilizagi vipindi vya michezo ila najua Jemedari alikuwa mchezaji zamani ila nataka pia kuuliza hivi jamaa ukiacha Simba na Yanga hivi ana uwezo wa kuchambua ligi za nje kweli kama EPL,BUNDESLIGA,LIGUE 1 maana niliona kamshukia Dauda na kumwambia wewe unapofanyaga uchambuzi wa Arsenal sijui mablahblah gan akayaongea,naomba kuuliza hiv anaweza kweli kufanya uchambuzi wa ligi za nje!?
 
Thamani ya goli kaipima kwa kutumia ukubwa na thamani ya mashindano. Mfano Goli linalofungwa Epl na Halaand lina thamani sawa duniani na goli linalofungwa NBC pl na Mayele au Kibu?

Udogo wa mashindano unapimwa na thamani ya mashindano, aina ya washidanaji na ukubwa wa ushindani.
Tupe vigezo vya CAF au FIFA acha ndoto! Na kwa fikra hizo tuambie SIMBA ni bingwa wa msimu upi mpaka yupo club bingwa msimu huu?
 
Unaweza ukawa bingwa kimchongo kama ambavyo yanga huwa anachukua ubingwa ila ubora huwa unadhihirika huku kwenye mashindano ya kimataifa, ndio maana hukumbuki mara ya mwisho timu lako kuingia makundi ya caf champions league ilikua ni lini,, na hata tunavyo zungumza sasa, upo shirikisho unaruka ruka na maluza wenzio
Unafanya ushabiki mandazi huo. Jibu swali
 
Ukweli ni kwamba mashindano ya mabingwa ni magumu kuliko shirikisho.
Na sababu iko wazi: ukikwama mabingwa unaingizwa shirikisho
Kweli kabisa si ndiyo maana kuna watu walichoma moto uwanja wa watu ili wapate ushindi na bado wakaangukia pua shirikisho ni mashindano madogo sana
 
Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho.

Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya Simba yalipaswa kuthaminiwa zaidi kuliko ya Yanga na sio kupewa thamani ya milioni 5 yote.

Jamaa kasema timu zinazofanya vibaya Champions League (mfano Yanga) hupelekwa kucheza Shirikisho kitu ambacho kinathibitisha utofauti wa ubora.
ushoga ukatazwe.
 
Haiwezekani losers wapewe milion 5 kwa goli moja sawa na wakubwa zao.

Losers mil 2.5 kwa goli moja.

Mabingwa milion 5 kwa goli moja.

Ndio maana hata zawadi za washindi kwenye hayo mashindano mawili ni tofauti, losers wanapewa pesa ndogo, wakati mabingwa wanapewa pesa kubwa.
 
Sasa yanga mnapanic nini, mbona amezungumza ukweli tu, utopolo champions league ili wapalia mkaangukia kwa malosers, sasa iweje magoli yetu yapewe thamani sawa, hii sio haki.

NB: 7 points obtained in cafcc equals to 2 points in cafcl .. famasiala nini
Huu ukweli ndio uliopewa jina la Kombe la Luza na Yanga wenyewe.
 
Anapoint. Mnafikiri kwa nini CAF wanatoa zawadi tofauti kwa washindi wa hatua zinazofanana kwa shirikisho na champions?
 
Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya Simba yalipaswa kuthaminiwa zaidi kuliko ya Yanga na sio kupewa thamani ya milioni 5 yote.

Duh! Mchambuzi kashindwa kung'amua kwamba izo pesa za goli ni kwaajili ya morali au Hamasa kwa timu despite the competition they are in, hili wote kwa mashindano waliyopo wasonge mbele zaidi na kuliheshimisha Taifa!?

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
TAAHIRA huyo. Anadhani timu alizopangiwa YANGA ingepangiwa timu lake bovu na kinyume chake angetoboa?
Labda wangemfunga yule ZALAN tu hata haya MAKUNDI YA LUZA wasingefika.
Endelea kujifariji, huyo aliyekutoa wewe CL alishawahi kuwa kundi moja na simba, kalete matokeo yalikuwaje
 
Back
Top Bottom