Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

Ngome ilikuwa inashindwa kuelewa kwa nini Rais hajaondok Ikulu.
Wakatuma watu kule kujua kuna tatizo gani.

Wakafika kule,wakamsaidia Rais ku pack,wakamuondoa,wakamleta Magufuli.

Unaona,jambo dogo tu, lakini, Magufuli akafurahi sana,Davies Mwamunyange akaongezewa mwaka mmoja.

Sasa huyu ambaye aliwangonganisha watu vichwa waelewane ili Samia awe Rais,unadhani itakuwaje. ? Labda ataongezewa muda kidogo.
 
He talks too much mpaka atatoa na siri za jinsi rais alivyofariki. Anamaliza muda wake basi aondoke tu kwa amani....Utumishi uliotukuka!

IMG-20220622-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom