Au wakati watanzania wanaswagwa kama wanyama Loliondo kwa maslahi ya wageni!..mbona hawakusimama kidete kulinda katiba wakati Magufuli alipokuwa hai na akiisigina katiba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wakati watanzania wanaswagwa kama wanyama Loliondo kwa maslahi ya wageni!..mbona hawakusimama kidete kulinda katiba wakati Magufuli alipokuwa hai na akiisigina katiba?
Hebu toa kwanza comment kuhusu Kauli ua CDF achana na MboweUongo Mbowe mbona aliruhusiwa kugombea uraisi wakati ni form six division zero
Hakuna sheria inayosema Raisi lazima awe na digrii
Kaka umezingua. CIA sio kitengo cha jeshi. Ni taasisi ya usalama inayojitegemea nje ya jeshiWapo chini yake. Hata CIA ni kitengo cha Jeshi la Marekani
Kwamba kabla magufuli hajakalia kiti mtangulizi wake aligoma kutoka ofisini? Mpaka ngome wakaenda kumtoa?Ngome ilikuwa inashindwa kuelewa kwa nini Rais hajaondok Ikulu.
Wakatuma watu kule kujua kuna tatizo gani.
Wakafika kule,wakamsaidia Rais ku pack,wakamuondoa,wakamleta Magufuli.
Unaona,jambo dogo tu, lakini, Magufuli akafurahi sana,Davies Mwamunyange akaongezewa mwaka mmoja.
Sasa huyu ambaye aliwangonganisha watu vichwa waelewane ili Samia awe Rais,unadhani itakuwaje. ? Labda ataongezewa muda kidogo.
Upo sahihiAs long as ni issue ya ccm kwenda ccm hakukuwa na tatizo.
Tatizo kubwa hamuelewi changamoto kubwa iliyokuwepo baada ya kifo cha Magufuli.Mjeshi anapostaafu na kujiandaa kuwa mwanasiasa hapo baadae lazima atafute kiki za namna hii…usitafute sifa kwa kutimiza wajibu wako…
mbowe hakuwahi kugombea urais.
kumbe na wewe ni kila,za
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Aiseeh...kumbe watu walipanga kujitwalia uraisi kinyume na katiba?Tatizo kubwa hamuelewi changamoto kubwa iliyokuwepo baada ya kifo cha Magufuli.
Hamjui kuwa kuna watu ambao wapo mpaka sasa, walijitayarisha kuuteka urais.
Nyie mnaona jeshi lipo lipo tu, hamjui kuwa vyombo vingine vya ulinzi na usalama vilisha tekwa na kuwa compromised.
Mama Samia siku ya kuapishwa alipelekwa Ikulu na Jenerali wa jeshi.
Hongera jeshi letu, lilifanya kazi nzuri.
Nchi hua ina jeshi moja tu. hapa bongo ni JWTZ, hizi nyingine hua ni taasisi, Ila bongo utasikia jeshi la polisi, sijui magereza, mara uhamiaji, mara jeshi usu. Yani kazi kuchanganya watu tu. Siasa mbaya Sana.Hapo kasema yeye akiwakilisha JWTZ inamaana DIGIS na IGP wao walisimamia upande gani?? najaribu kuwaza tu.
Bashiru Ally KakurwaWajuaji Na Wafafanuzi Na Mje
Story za vijiweni na kusadikikaTatizo kubwa hamuelewi changamoto kubwa iliyokuwepo baada ya kifo cha Magufuli.
Hamjui kuwa kuna watu ambao wapo mpaka sasa, walijitayarisha kuuteka urais.
Nyie mnaona jeshi lipo lipo tu, hamjui kuwa vyombo vingine vya ulinzi na usalama vilisha tekwa na kuwa compromised.
Mama Samia siku ya kuapishwa alipelekwa Ikulu na Jenerali wa jeshi.
Hongera jeshi letu, lilifanya kazi nzuri.
Hakuna sheria inayotaka rais kuwa na degree.Alichofanya alizuia maccm yaliyotaka kumpindua Samia kisa Hana degree kama Sheria inavotaka wakati Mzee magu amedanji. Lakini ccm kila siku wanavunja Sheria yeye ameufyata. Asituchuze
Are you 'vyeti feki'?Namshukur sana Mungu aka kajamaa kalikufa
Whaaaaaaat? Did Mbowe get 0? Didn't he get an admission to University?Uongo Mbowe mbona aliruhusiwa kugombea uraisi wakati ni form six division zero
Hakuna sheria inayosema Raisi lazima awe na digrii
Watu hawajui maana ya zile kauli za Magufuli yuko Ikulu anapiga kazi.Aiseeh...kumbe watu walipanga kujitwalia uraisi kinyume na katiba?