Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

Huyu kijana nilishataka kuweka uzi humu kuwa kuna siku akipata madaraka anaweza kuja kuzusha vita nyingine, cha kwanza hana hekima wala ustaarabu na cha pili anajiamini kupitiliza na ni mtu wa choko choko
Alizaliwa vitani. Amelelewa vitani. Amesomea viatani. Amekulia vitani. Amefanya kazi vitani. Mlifikiri atafikiria nini zaidi ya vita?
 
Kama ni kweli Muhoozi kasema hivyo msiwe na Hofu kwani Mwezi Mmoja uliopita Rais Museveni ( Baba yake Mzazi ) aliwaita Marafiki zake Wawili ( Wazee Wawili wa Kitanzania ) sasa ni Wastaafu ila walikuwa wakihidimu Taasisi ya Ikulu na Nyeti Awamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na katika Mazungumzo yao Mzee ( Rais ) Museveni aliwaomba Wazee hawa Wamuite Muhoozi huku Tanzania waongee nae na Wamkanye juu ya haya ayafanyo kwani hata Baba yake ( Rais ) Museveni yanamkwaza pia.

Kuhusu huyu Mtoto wa Rais Museveni aitwae Muhoozi Kainerugaba kutaka au kutamani kuja kuwa Rais wa Uganda GENTAMYCINE nawahakikishia kuwa hatokuja kuwa Rais kwani Baba yake halitaki hilo na anasema Uganda si Himaya ya Kifalme bali ni Taifa linaloheshimu Utu na Misingi Kisiasa na Kidemokrasia.

Mmoja wa hawa Wazee Wawili ( ambao ni Marafiki wakubwa na wa karibu na Rais Museveni waliolelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na hata Muhoozi anawajua kwani walimlea pamoja na Dada yake Natasha walipokuwa wakiishi Upanga Ghorofani jirani na Muhimbil Hospital ) anategemea kwenda nchini Uganda ambapo licha ya kuonana na Rais Museveni ila pia ana appointment ya Kukutana na huyu Kijana Mtoto wa Rais Muhoozi ili kwa Niaba ya Mzee Mwenzake atakayemuacha Dar es Salaam ( Tanzania ) ampe 'Vipande' vyake hivyo huenda akaanza Kubadilika.

Hata hivyo pamoja na Rais Museveni ( Baba yake Mzazi ) leo Kukerwa na akifanyacho Mwanae Muhoozi MImi kama GENTAMYCINE nampa lawana nyingi Rais Museveni hasa kwa Kumpandisha Vyeo vya Kijeshi haraka haraka, kumpa Madaraka hasa Kikosi chake cha Ulinzi SFC ( zamani PPU ), kumruhusu aunde Jeshi lake binafsi la Kumtii ( ndani ya Jeshi Mama ) la UPDF na hivi karibuni Kumteua kama Mkuu wa Kikosi cha Ardhini.

Vitu vyote hivi Rais Museveni alivyomfanyia Mwanae huyu ( Muhoozi ) automatically vilimpa Jeuri na Kiburi Mwanae kiasi cha kuona na kudhani kuwa baada ya Baba yake Mzazi ( Rais Museveni ) Kung'atuka Madarakani anayefaa kuwa Rais ajaye wa Uganda ni Yeye tu Muhoozi.

Nina mengi juu ya hili, hawa ( Rais Museveni na Mwanae Muhoozi) nchi ya Uganda, Siasa zake, machache ila ya Muhimu kuhusuTaasisi zake za UPDF na ile ya CMI na kinachotokea sasa, ila kwa sasa naomba niishie tu hapa tafadhali.
Mkuu bado unamtambua Muhoozi kama Kamanda wa Vikosi vya ardhini? Hujui kuwa "aliishastaafu" na anakisubiri kwa hamu Kiti cha Enzi alichoandaliwa?
 
Hiyo sio kigezo tu. Switzerland haijawahi pigana vita miaka zaidi ya 200 ila ina silaha kali na budget ya kutosha hadi wameidhinisha kununua F-35 jets. Miaka ya Cold war walikuwa na maandaki ya kuwatoshea raia wote nchi nzima plus 10% ya population kama wageni au ongezeko la ghafla la raia. So walijipanga vikali ingawa hawashiriki vita.

South Africa hata silaha wanatuuzia mfano MRAPs kama za Mamba wanauza kwetu, Uganda, Kenya, West Africa uko. Anti tank missiles kama Mokopa wanauza nje ya Africa na iko very effective. Wameuza anti air missiles kwenye corvette ya Finland. Waliwahi kuwa na Rooivalk attack helicopters wakakosa wateja kimataifa kwa figisu za Marekani. Makampuni yao kama Denel yanauza silaha nyingi tu. Sasa uwalinganishe na sisi.

Ndio maana kazi za helicopters kwenye majeshi ya kulinda amani Afrika mara nyingi wanapewa wao. Wengine wanabaki na infantry tu
Nimeridhika na ufafanuzi wako mkuu

Thanks..Kazi njema!!
 
ivi huwa unafatilia mambo kweli mambo yanabadilika sana !!labda tuwashinde kwa manenoView attachment 2376555
Yani na wewe umeamini huu utoporo Tz ina Tanks 42 kweli , Tanks zipo nyingi sana kuna siku Mwanza pale nimekuta zinasafirishwa kwa reli Tanks zaidi ya 20 ,fikiria kuna kambi ngapi za jeshi nchi hii na kila moja ina Tanks, taarifa hizi ni za sili unakuta hata waziri wa ulinzi mwenyewe hajui
 
Anaona Kenya ni poyoyo??
Mbona hasemi Tz
Mlevi huyo tumnyooshe kama ndugu yake amini nduli

Ahame nchi yake na afie huko porini
Pumbavu kabsaaa ole wake aiguse Kenya
Yeye alewe mataputapu yake halafu amguse jiran yetu bila kosa lolote

Tutamnyoosha
Hekaya za enzi ya mwalimu
 
ivi huwa unafatilia mambo kweli mambo yanabadilika sana !!labda tuwashinde kwa manenoView attachment 2376555

Na wewe unaamini kuwa Tanzania yote bara, visiwani na mikoa yake tuna vifaru 49 tu??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiona mtu anaalikwa anaenda na choo chake ujue na wanawe akili hazipo kabisa....ngoja tuone wajameni
 
Idiot general!
U r fucked up....we don't need wars
Go and https://jamii.app/JFUserGuide ur mom
 
Na baada ya kutoa kauli hio kapandishwa cheo kutoka lieutenant general na Sasa ni general.

Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ?
IMG_20221005_015759.jpg
 
Niki connect dots za vita ya wanamgambo wa Al shabab inayoendelea mpaka Sasa na tukio la Westgate napata wasiwasi kama Kenya wataiweza mikiki mikiki ya jeshi la Uganda...
 
Niki connect dots za vita ya wanamgambo wa Al shabab inayoendelea mpaka Sasa na tukio la Westgate napata wasiwasi kama Kenya wataiweza mikiki mikiki ya jeshi la Uganda...

Hakuna jeshi lolote Afrika limekumbana na changamoto ambazo Kenya ilipambana nazo na mpaka kushinda, sio rahisi kupigana na majitu ya kidini yaliyolishwa mafundisho yakaiva kiasi cha kujitoa mhanga.
 
Hakuna jeshi lolote Afrika limekumbana na changamoto ambazo Kenya ilipambana nazo na mpaka kushinda, sio rahisi kupigana na majitu ya kidini yaliyolishwa mafundisho yakaiva kiasi cha kujitoa mhanga.
Jeshi letu la uganda ni imara haitachukua hata week mbili kuichukua Kenya yote.
 
Mbona hajaisema Tanzania tukamnyonye macho huyo maana hata mm sio mjeshi ila nitaingia tu dharau hizi maana amekosa adabu east africa sasa ni ndugu haya mambo ya vita tuyaache na kauli kama hizi ni za kichochezi wakenya mfinyeni huyo kimya kimya huko huko kwa baba yake ila km kuna kenge mwingine analeta dharau asirudie
 
Usiwe kilaza wewe mtoa mada hiyo ni fake akaunti
Fake account wakati ina blue tick kwa maana ipi verified. Halafu kama ni fake kwanini serikali ya Uganda iombe radhi kwa Wakenya kupitia kauli hiyo?
 
Back
Top Bottom