Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Viongozi wanaoandika vita kuhusu Maisha Yao kuwa wanaacha kuyaandika mambo muhimu ambayo hayakuwapendeza ; haya ya marehemu general kiwelu yalitakiwa yawemo kwenye kitabu cha Alhaj Mwinyi!! Ndio maana Watu wengi wanaamini kuwa maelezo ya kweli ya wisteria ya viongozi haiandikwi na was wenyewe bali huandikwa na Watu baki ambao hawatakuwa na ushawishi wa kutoandika nabo ambayo yasingempendeza muhusika!!
Je hii inawza kuwa sababu kwanini Mwalimu Nyerere alikataa kuandika kitabu juu ya maisha yake? Je unadahani katika kitabu chase Kikwete atakuwa muwazi na kuhusika kwake kwenye ufisadi uliotokea under his watch?
I hope ataeleza yote ili pia tujue mambo yanavyotakiwa kwenda. Ina maana sisi hatuna waandishi wa historia yetu? Mbona kuna ombwe kubwa eneo hilo? Sio kila kitu ni classified. Ila kuandika, kunasaidia generations kadhaa kujifunza mengi ambayo yanatokea, na pengine ndio yamekuwa shaping tools za uwepo wa Taifa letu