Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

Huu ujinga wa kukijua chama badala ya kuijua serikali na nchi na matatizo ya Wananchi ndiyo mzizi wa umasikini ulipo.Kwani wanaokijua chama wametusaidia nini?
Kenya waliweka kando KANU na wanasonga sisi bado tunaabudu CCM!
Huyo Mwandosya Barabara ya kutoka Tukuyu kwenda kwao haina lami toka tupate Uhuru, kashindwa ata na Mwakyembe kwao Kyela lami kibao na ukumbuke Mwakyembe na yeye hakijui chama pia.
Tukatae utapeli wa CCM,nadhani kamati ya Bashiru ilifichua ubadhirifu wa Mali za chama,Je hao wanaokijua chama walikuwa wanajua kuwa Mali za chama zinatafunwa na wachache?Ni Magufuli asiyekijua chama ndiyo alikuja kuwafungua macho Wana CCM;sasa mtu ambaye hajui chama alijuaje kuwa chama kina Mali!
 
Alijuaje kuwa chama kina Mali na zinaliwa kama hakijui!
 
Samia anasemwa kwa ubaya tu ila makosa ni ya wataramu wake yaani baraza,chama,bunge,wanasheria na dola.
Jaribu kuwa rais alafu uone
Hivi unatambua kwamba hiki ulichokiandika hapa, japo unajinasibu unapinga kimantiki ni kama UNAKAZIA ulichoquote hapo juu!?

Hebu soma tena comment yako chief.
 
Kwahiyo Kenye wana uongozi Mzuri? Vipi Zambia ambako Vyama vinabadilika kila uchaguzi?
Au je walioko CHADEMA, ACT, CUF, etc ninbora kuliko hawa walioko Madarakani ?

Hao wanaoongozwa na hao katika hivyo vyma wanaonaje ? Kuna rushwa? Nani kachukuliwa hatua ? Je tunapataje viongozi ?
 
Masikini Samia anakutesa mwenyewe.
 
shida ya samia kafanya kazi sana kwenye NGO's kwa mitazamo ya NGO anaileta kwenye nchi, na NGO nyingi zinaamini haziwezi kufanya vitu bila misaada, na assistance kutoka nje ya system zao, hawawezi kuchakata rasilimali zao na wakasepa, na shida ya Magu aliamini sana tunaweza kufanya wenyewe bila msaada wa wengine.
 
Sasa tukitaka kuwapata ambao ni bora kuliko Samia au Magufuli tufanyaje ? Au tuanzie wapi ?
 

Hakuna mtu anaitwa ā€˜ Mwandosha au Mwandoshya’ kama ulivyoandika na sidhani kweli kama ni Mwalimu wako, maana haiwezekanif ukakosea kuandika jina la Mwl wako!
 
Hao wasaidizi wanamshauri vibaya huku yeye anawatazama tu, amejigeuza bubu, ndio maana nimemuita mjinga dhaifu, mimi siwezi kuwa kiongozi nikafanya vibaya kama yeye.[/QUOTE]

Mawazo ya bwege ndiyo hayaa jamani!
 

Kenya! Imesonga kwenda wapi au ni Kenya gani unayoitamka hapa! Huko ndiko kumejaa vurugu mechi, kila siku ni maandamano na kutwangana tu!
 
Ukisikia wanasema huyu haijui CCM basi jua kuijua CCM inabidi uwe mnafiki, ambae unapiga dili kwa kushirikiana na wenzio
 
Hao wasaidizi wanamshauri vibaya huku yeye anawatazama tu, amejigeuza bubu, ndio maana nimemuita mjinga dhaifu, mimi siwezi kuwa kiongozi nikafanya vibaya kama yeye.

Mawazo ya bwege ndiyo hayaa jamani!
[/QUOTE]
Kama mtu anaweza kukushauri katika jambo la kipumbavu nawewe ukakaa kimya maana yake wewe pia ni mpumbavu tukuka🤣!

Mtu akushauri umuuzie nyumba ili akupangishe uanze kumlipa kodi na wewe unaupokea ushauri huo na kutekeleza bila reasoning yoyote. Halafu useme mtu kakushauri vibaya si uzwazwa huo.
 
Huyu ndugu Ulimwengu huyu.....

Ni kuchanganyikiwa?!!!

Ni nini hasa ?!!

Yaani yeye aijue Tanzania ZAIDI ya mh.Rais SSH ?!!!

Asichokijua ni kuwa KAZI yake ilishamalizika..... hayati baba wa taifa Nyerere "aliwapa" kazi wengi....wengi tu....wenye asili ya "nchi jirani"....wakaifanya kazi yao....kwa maslahi mtambuka ya taifa hili bora afrika.....

Mzee wetu atulie....atulie kama maji ya mtungi na kufurahia "uraia" wa Tanzania......

#SiempreJMT[emoji120]

#Mama Kaja[emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…