Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

Jenerali Ulimwengu ni mmoja wa wasomi wa hovyo wa kizazi kilichopita.
 
Naona baada ya kuambiwa mjibu hoja yake kwamba UDSM ni extended school mmeanza kumjibu vikali kwa kujititimu huku mkijifanya ukweli aliousema hamuujui. Mnajibu hoja kipovu mno mtakosea kupangua hoja yake na kubaki yeye ndiye bingwa
 
Midahalo hujengwa uwezo wa kufikiri,huongeza elimu,ilikuwepo tangu tungali s/msingi,huko walikoendelea hawajaacha huu utaratibu,shida siku hizi hata vyuoni presentation hakuna,chukia tu wasomi wa vyuo uganye nao mjadala uone walivyo weupe
 
Bichwa lenyewe lina Komwe litakuwa na akili kweli?
 
Kumuelewa Jenerali Ulimwengu....angalau elimu iwe imekukomboa...vinginevyo nakupa pole.
 
Samahani, wewe ni Ke au Me?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…