Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

BICHWA TUPU?
 
Haelewi kuwa hizi ni zama za watu kusomea ujinga, au sivyo?
 
Ndo maana amewasema kumbe ni kweli mna digriii fake.
 
Naona chawa wanaozalishwa na vyuo vikuu wameanza kutoka mafuchoni!
 
Mzee wetu huyu mpendwa utadhani ndio anabalekhe saivi yuko influenced na generation ambayo sio yake
 
Umeandika kama unavuta bangi/sakramenti.
 
Kazi za midahalo ni kuanzisha na kuchochea fikra mpya zitakazotoa uelekeo/njia sahihi ya kufikia hayo maendeleo.

Midahalo inatoa mawazo chanya ya namna ya kukabiliana na matatizo yanayotukwamisha na hatua za kuchukua ili kuyaepuka au kuzuia yasijirudie tena.


Midahalo ni nafasi inayoweza kutumiwa nawenye nchi kuwashauri wenye mamlaka kuhusu mustakabali wa nchi wanaouhitaji.

Midahalo pia ni njia nzuri ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi.

Midahalo ndio njia nzuri ya kukutanisha pande zenye fikra tofauti kinzani ili kuzalisha uelekeo mmoja utakaokubaliwa na wengi.

Midahalo ndio njia nzuri ya wananchi na wanazuoni kuwashauri viongozi wao.

Kusema midahalo ni kwa ajili ya kuwapinga mabeberu tu ni kukosa uelewa.

Hata vyuo vikubwa huko duniani huandaa midahalo mingi ya namna hii.
 
Mleta uzi anapendelea kusutana mtaani.Midahalo hapendelei kabisa.
 
At least umekuwa ushahidi unaoishi wa mtu aliyekuwa mjinga akaenda kusoma akatudi akiwa MPUMBAVU.

Wewe ni the living example mkuu.
 
Mawazo chanya? Hasi yatatoka wapi?

midahalo ikafanywe kwenye vyama vya kisiasa ili ichochee kuimarika kwa demokrasia.

kwenye taasisi za umma si muhimu sana kwani tayari madhara yake yalishaoneka. Vijana waliacha kusoma na kugeuka wanaharakati wa kuanzisha fujo na migomo vyuoni.

Kwa kipindi sasa tangu mambo ya midahalo kupoa, vyuo vimetulia tuli vijana wanasoma kwa utulivu.

Wazee watu wazima kizazi kiwewatupa mkono lakini bado wako driven na generation mindset ambazo si zao.

Wapuuzwe kwa heshima ili wasikwazike, tunawapenda sana .
 
Dah! Hii bangi umevuta sijui ni ya wapi lkn imekuharibu sana. Hata hivyo hujachelewa. Iache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…