Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kwao wapi? Yeye si Mtanzania!?Atuache kwetu
Uchaguzi ilikuwa huru, haki na maendeleo ya vitu
Rudi kwenu Somalia jombaaAende kwao, atuache kwetu
Uchaguzi ilikuwa huru, haki na maendeleo ya vitu
Uchafuzi wa safari hii ulipita kipimo.Siku ya kufunga kampeni pale Kawe,Mnyika aliwaambia kwamba ikitokea wakala akatolewa nje mhakikishe hicho kituo kura hazipigwi.
Hivi ilikuwaje mawakala wakawa wanatolewa tu kama kuku na nyie wafuasi mna mangamanga tu?
BTW:Hata chaguzi zilizopita ambazo waangalizi wote (EU,EAC,AU,SADC etc) walisema uchaguzi ulikuwa huru na haki mliyakataa matokeo kwa hiyo hii wala siyo habari.
Uchafuzi wa safari hii ulipita kipimo