Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Huyo mlevi hamuoni hata macho yanapotea kwa whisky siku hizi utadhani mchina. Tangu njama za wakimbizi wenzake za kutaka kumuweka yeye uongozi nchini kwetu kukwama hana jema anazungumza kuhusu tanu na CCM. Hapo zamani akiwa kijana na njama zao akijidai mwanamapinduzi na mfuasi mkubwa wa itikadi ya ujamaa na kujitegemea hivi leo kila akifungua mdomo kwenye vyombo vya nchi za kibeberu ni kukandia tu chama na nchi iliyomlea.
Kwaheri whisk kama ndio inatepesha macho namna ile. Mimi nikajua mimi ndio nayaona peke yangu. Dingi yule kweli atakuwa na damu ya mchina maana si kwa kuinanga nchi yetu kila akibinua mdomo.
 
Ila huu umezidi.
Ni lini kumewahi kuwepo uchaguzi ulio huru hapa Tanzania?
View attachment 1628111View attachment 1628112View attachment 1628113
Screenshot_20201029-061237.jpg
 
Kwani wewe hapa Tanzania ni kwenu?
Aende kwao,asituletee uchuro toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii,yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa,Lowassa,JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye,huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi .Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga.Ni mbinafsi mno .
 
Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.
Wahutu ndivyo walivyo.
 
Back
Top Bottom