Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Jenerali ananyoosha mulemule, sawa na Lissu, Fatma Karume, Maria Tsehai Sarungi wote hawaogopi.

Hapo angekuwa Pascal angekariri kauli ya uchaguzi umeisha na pongezi za ushindi wa 84% hata kama makaratasi ya kura yalisambaa kitaani yakifungia kitumbua.
Anazeeka vibaya sn
 
Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.

Hivi huyu Jenerali Ulimwengu alipoomba uraia wa TZ alipewa au alinyimwa? Kama alipewa hivi haoni haya kuwasema vibaya wazawa waliompa hisani kumkubali awe raia kama wao?
 
Haingii akilini kuwa Majimbo na Kata zote nchini iaminike, kwa hoja yake kuwa maeneo kadhaa nchini zilionekana kura feki, na kwamba mawakala wa vyama vya upinzani walio wengi waliondolewa vituoni. Sababu zote hizo ni za kitoto kutolewa na mwandishi nguri kama Jenerali Ulimwegu. Anajiaibisha kutokuthibitisha madai hayo kwa takwimu na ushahidi.

Upinzani hata kama kwa miaka 5, kwa hoja yake kuwa wapinzani walitendewa mambo ambayo kimsingi ukiyaangalia siyo fair kabisa, wakiwa ni viongozi wanaotaka kuchukuwa madaraka ya kuongoza nchi, walipaswa kutumia njia mbadala na kujiandaa ili wapiga kura wawaamini. Lakini badala yake kwa kauli na matendo yao wapiga kura waliwasikia na kuwaona na mwisho wake wakawaadhibu kwenye sanduku la kura.
Janerali anaongea na media na ni mwanasheria lazima achunge mdomo kwa kuongea vitu vilivyo dhahiri. kubwa unalitakiwa kujua,ambalo linaweza kuongelewa kwenye media baada ya uchunguzi tu, ni wakurugenzi kutokutumia matokeo ya vituoni. walikuwa wanajaza tuuuu. figisu zinafanywa na binadamu tunaishi nao. hawa wabunge waliosaidiwa kuchakachua tunaishi nao. hawawezi kuweka siri wakati wote.
 
Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.
Hivi ni kweli alitakiwa amwachie Prof. Kabudi?
 
Hivi huyu Jenerali Ulimwengu alipoomba uraia wa TZ alipewa au alinyimwa? Kama alipewa hivi haoni haya kuwasema vibaya wazawa waliompa hisani kumkubali awe raia kama wao?
Umekuwa kielelezo cha waTz wanafiki. kuona haya ndio nini.
 
Nani Jenerali Ulimwengu- Mkuu huyo hata kabla hajasema tunajua hawezi kuisema serkali ya Tanzania vizuri.
 
Hapo zamani akiwa kijana na njama zao akijidai mwanamapinduzi na mfuasi mkubwa wa itikadi ya ujamaa na kujitegemea hivi leo kila akifungua mdomo kwenye vyombo vya nchi za kibeberu ni kukandia tu chama na nchi iliyomlea.
Jamani kumshambulia Ulimwengu kwa mapungufu/historia yake haiondoi ukweli wa uwepo wa mapungufu makubwa ktk "uchaguzi" uliopita.
 
Ni kituo gani Yeye alichokuwa akisimamia hata akaona wizi wa kura na alikuwa wakala wa Chama kipi au ni kule kusikia sikia tu kulikuwepo wizi!!

Ushahidi aliupata wapi huyu mtu?
 
Huyu atulie tu ili aufurahie uzee wake vizuri kuliko kuzeeka na machungu moyoni.

Wa kuisumbua CCM alikuwa Lowassa mwaka 2015 aliyekuwa na kila kitu, pesa, marafiki, ushawishi na mipango ya kisayansi ya kampeni.

Lissu ni mwepesi sana kwa Magufuli hakuwa na pesa, sio mwanasiasa aliyekomaa, hajui kuwasilisha ujumbe kwa watu wa hali tofauti za kimaisha.

Kampeni za 2020 zilikuwa nyepesi kuliko za 2015.
 
Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.
Anashindwa kuelewa kuwa JPM sio mtu wa kuvutiwa na fikra za wanaharakati.

Anashindwa kuelewa kuwa muda umekwenda, nyakati zimeshabadilika.
 
Tutalialia hivi, tutasahau na mwaka 2025 tutaenda tena kwenye chaguzi kwa confidence na tambo kubwakubwa huku tukijua hakuna kilichobadilika kwenye mfumo mzima wa kuendesha chaguzi zetu.
 
Huu ni ukweli mchungu.

Jiwe ni shetani na ndio chanzo cha yote hayo.
 
Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.
Alifanya la busara kama aligoma kumuachia mzee wa majalalani
 
Back
Top Bottom