Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.
Soma ulichoandika uone kama kina endana na alichosema Ulimwengu! Siku zote umekuwa ukiandika uharo kwelikweli sijui ni kichwa chako kibovu!
 
Maneno yalelyale yanasemwa na watu walewale kwa vyombo vya habari vilelvile so hamna jipya
 
Ni Kweli.Ulikuwa ni wizi. Je, ni lini Tanzania tutaanza chaguzi za haki na kumpa nguvu mpiga kura kuchagua viongozi? Kwa sasa viongozi wanachaguliwa na NEC na Polisi na CCM.
Ni hatari Sana ! Tunakwenda wapi jamani Taifa hili !??
 
Ni lini kumewahi kuwepo uchaguzi ulio huru hapa Tanzania?
What about America USA?
ambako ndio tunachukua kama mfano wa demokrasia.
tunaambiwa uchaguzi umechakachuliwa.
kumbe nao ni wale wale tu kama Africa
 
Jenerali Ulimwengu ana hasira ya kukosa soko la magazeti yake. Maana sasa hivi nani atanunua Raia mwema? Hakuna cha kumkosoa JPM.

Uchaguzi hapa Tanzania upo huru na wa haki, ndio maana unafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria,kila chama kinatakiwa kuweka mawakala kulinda kura zao. Kusema wakurugenzi waliamrishwa kutangaza wagombea wa CCM mtu kama Jenerali Ulimwengu kulishadidia ni kujidhalilisha.
Kwako yatosha tu kukuita Changu wa Madoa. Ndivyo ulivyo!
 
Jenerali Ulimwengu ni kati ya watu makini, wenye weredi wa hali ya juu hasa kwenye fani yake ya uandishi wa habari na mmoja ya watu wachache waadilifu waliobakia katika nchi yetu.

Aliyoyasema ni ukweli mtupu!!
 
Ni Kweli.Ulikuwa ni wizi. Je, ni lini Tanzania tutaanza chaguzi za haki na kumpa nguvu mpiga kura kuchagua viongozi? Kwa sasa viongozi wanachaguliwa na NEC na Polisi na CCM.
Pale mtapoacha kwenda kupiga kupiga kura kwenda kwenye kampen zao wabaki wenyewe tu

Wataona aibu
 
Huyu naye Ana msongo wa mawazo...tangu akose uteuzi mwaka 1995 kwa serikali ya Mkapa hajawahi kuwa vizuri...Na ile ya kuambiwa siyo raia ndiyo ikamchanganya kabisa...Sasa amejikita kwenye uanaharakati...anazungumzia eti kura zolikuwa zimeshapigwa...huo ni uongo...Hana ushahidi...sijui mawakala waliondolewa kwenye baadhi ya vituo..huo ni uongo wa kishetani....he is a frustrated guy...an imperialist stooge...
 
Jenerali hana njaa na kikubwa zaidi kichwa chake kina akili
 
Jenerali Ulimwengu ni kati ya watu makini, wenye weredi wa hali ya juu hasa kwenye fani yake ya uandishi wa habari na mmoja ya watu wachache waadilifu waliobakia katika nchi yetu.

Aliyoyasema ni ukweli mtupu!!
Natofautiana na wewe ingawa naheshimu mawazo yako...uliyemtaja Hana umakini wote...pia Hana weledi wowote kwenye fani ya uandishi wa habari...he is not objective and he has never been objective...kazi yake yake ni kushutumu tu mamlaka...
 
Kama angesema uchaguzi ulikuwa huru na haki basi nafikiri comment yako ingekuwa sawa na yangu ama ungeipamba zaidi!!

Hili ndilo tatizo sugu la wana CCM..
 
Kama objective ni kusifu tu mamlaka basi bora asiwe hivyo unavyotaka wewe
 
Kama angesema uchaguzi ulikuwa huru na haki basi nafikiri comment yako ingekuwa sawa na yangu ama ungeipamba zaidi!!

Hili ndilo tatizo sugu la wana CCM..
Ok ..pengine uko sawa na sahihi...lakini ukweli utabaki kuwa huyo uliyemtaja ni mnafiki tu na pia arrogant ...hujifanya yeye ndiye anayejua zaidi kuliko wengine...he has never been objective and he will never be...Yuko kukosoa mamlaka...he is a frustrated guy...mpenda makuu...mpenda sifa na majigambo...
 
Ni lini kumewahi kuwepo uchaguzi ulio huru hapa Tanzania?
Nyani, huwaga na kuelewa kweli.
Kuna kipindi nahisi mitazamo yetu ina fanana na kama tunatofautiana ni padogo sana.

Me sio CCM ila hata hawa wapinzani pia siwaelewi.

Kila baada ya uchaguzi utawasikia "Uchaguzi huu haukua wa haki " utadhani kuna mwaka nchi hii kumesha fanyika uchaguzi huru vile.

Wapinzani wapiganie katiba mpya, itakayo zaa NEC yenye watendaji huru, sio hawa wanao chaguliwa na Rais.
 
Back
Top Bottom