PreGE2025 Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamwaga machozi mahakamani baada ya kumuona Lissu akisimama kizimbani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ni laana kwa huyu Mama

Shida pia ipo kwa mstaafu kikwete toka magufuli amnyooshe kawa muoga sana kumuamini mtu mwingine kumkabidhi kijiti ndo maana anamkumbatia Samia anaeweza kumpa maelekezo
 
Mbona na mimi natokwa na machozi nikiwa online via Jamii forum, sijui nitoe pole ama hongera, maana dah. Anyaway hongera kwako TAL you are so strong

Heri mimi sijasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…