Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

Peleka pumba zako kwa mama yako
 
Peleka pumba zako kwa mama yako
Dada mbona una makasiriko? Nyie watoto wa mtaani huwa wengi mlikosa malezi mazuri ni matokeo mazuri ya watu kutotumia mpira wakati wa sex.hivyo sishangai mnapokuwa na makasiriko wakati wote na kutaka dandia kila mwanaume.wewe humjui mama yako kama yeye ambavyo hamjui baba yako ni yupi kati ya wote wale. Kunywa maji utulize akili..usirudie makosa yaliyofanywa kwako.
 
Ulimwengu ni Mnyarwanda. Yupo kwenye mission ( as a sleeper) ya kuiondolea amani Tanzania na mission hii haijawahi kufanikiwa na haitafanikiwa.
 
Ukoo wakonwote mkiji hangs vichwa vyenu hamwezi kifikia 1% ya akili ya Jenerali Ulimwenhu.
Yuko very smart upstairs! Likewise Fatma Karume
 
Kwamba mtu kama Generali hakuwa na kitu hata kimoja kizuri kuhusu Mkapa, ilionesha ni mtu mbinafsi na mwenye chuki za kina, kama makundi mawili ya nchi jirani! BBC walirudia swali Mara kadhaa, na yeye akendelea kumponda Marehemu, hivyo hivyo Kwa Magufuli! Waliowaruhusu kuweka mpaka account za benki za watu magazetini, kama sehemu ya Uhuru na demokrasia, kwake ndio wanaofaa, lakini nchi ikawa ovyooooo!
 
Weka facts , huyu mzee Jenerali ni hatari kwa lipi? Au kwa kuwa hanaga hulka za kinafiki na kwake ni mwiko kumung'unya maneno ! .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…