Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unamtafuta kwenye Angle ndogo hivyo?je uliwahi kuisikia G55?Hana uzalendo wowote ndani yake.
Cheo cha ukuu wa wilaya alishindwa kuonyesha uzalendo wake hata kwenye eneo dogo tu la wilaya!!
NGOMA IKILIA SANA .......................
Ni ishu ya muda tu.
Awamu ipi hiyo?Yeye ni muoga tangu awali. Kama hakuwa muoga kwa nini alibadili jina akiwa mwanafunzi, pale Tabora Boys. Ni muoga sana, na ndiyo maana awamu iliyopita alikuwa hasikiki utafikiri alikuwa kahama au kafa.
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.
Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.
Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.
Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.
Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.
Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.

Mkapa alimwondolea uraia.
Inadhaniwa ni mtutsi.
Huyu jamaa angekuwa nchi yake ya asili hata mwaka asingemaliza, ashukuru huku Kuna amani
Tatizo la wanyarwanda huwa ni kasumba ya kujiona kuwa na akili kuliko makabila yote ya Africa.Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.
Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.
Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.
Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.
Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.
Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Duh!Kama ikiwa kuna watu watano tu wazalendo waliobaki kwenye nchi basi Jenerali ni mmojawapo.
Ulimwengu kwanza sio mtanzania hana uchungu wowote na nchi hii, pili ana asili ya gaidi, tatu mahojiano mengi anafanya hali kanywa mapombe hivyo ni jitu jingajinga la kupuuzwa tuJenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.
Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.
Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.
Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.
Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.
Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Sio inadhaniwa, huyu ni mtusiMkapa alimwondolea uraia.
Inadhaniwa ni mtutsi.
Ulichokiandika kinaitwa 'blanket' au 'wholesale judgement'. Nilitegemea ueleze huo ustawi wa nchi ni nini au ukoje na yeye anauhatarisha kwa namna gani. Otherwise, sijaona point yoyote ulitoweka hapa.Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.
Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.
Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.
Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.
Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.
Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Tumekusikia bi tulia mbunge wa mbeya mjiniJenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.
Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.
Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.
Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.
Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.
Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Mwambie bashe,aden rage dotto biteko,kinana wote ni wahamiaji haramuHuyu jamaa angekuwa nchi yake ya asili hata mwaka asingemaliza, ashukuru huku Kuna amani
Hii kitu staha mnayoliliaga ikoje? Yaan mtu akitaka kukukosoa akosoe kwa kuremba maneno ama? Ili iweje? Kosolewa vyvyote vile ikuume na ubadilike!Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.