Hebu kwanza.Kuhusu Ngorongoro wenye akili wanajuwa sheria imasema nini kuhusu ardhi pia wanajuwa kuwa wafugaji wa Kenya ndiyo wenye yale maelfu ya ng'ombe wanaolishwa majani ya Ngorongoro na hivyo kuhatarisha hiyo world heri
Ni huko huko ile mifugo/ng'ombe wa hao jamaa walipopigwa mnada au?
Hivi wakenya waliendelea kupeleka mifugo yao huko?
Kama ni hivyo, si basi hili ni jambo la kuongelewa na huyo huyo Ulimwengu, au vipi?