Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

Hadhira: Mwandishi lta hoja madhubuti juu ya andiko lako.

Mwandishi: xxvnmkdagkltrgmmmmf
20220713_103426.jpg
 
...kwa akili zako ulichokisikia wote tumekisika, kwa nini usiweke hapa aliyosema hadi ukamuanzishia uzi??? ofcousre kwenye kauli zake unaweza kuchagua kula nyama na supu ukaachana nayo maisha yakaendelea.
 
Si kudhaniwa bali ni Mrundi kama Kibu Denis. Ilibidi apate uraia wa kuandikishwa. Ki ukweli huyo Jenerali Ulimwengu simpendi kwa tabia zake za kujifanya anajua sana kuliko Watanzania wote
jamaa hana ukubwa wowote kiherehere tu waaandishi wa habari kujikutaga much know ndo maana huwaga wanafanywa mbaya.. propaganda za kijinga huwaga zinapelekea machafuko nchini
 
Siku zote wajinga uwachukia werevu.Watanzania tuna tatizo kubwa la unafiki wakutopenda mtu mkweli anayenyoosha maneno.Kwahiyo sishangai mtu kama wewe kuja na hoja kinzani kuhusu mawazo ya ulimwengu.
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
sio ajabu, watu wa upeo wako lazima wamuone hivyo.
 
Hana uzalendo wowote ndani yake.
Cheo cha ukuu wa wilaya alishindwa kuonyesha uzalendo wake hata kwenye eneo dogo tu la wilaya!!
NGOMA IKILIA SANA .......................
Ni ishu ya muda tu.

Kwa bahati mbaya uzalendo wa cheo cha ukuu wa wilaya ni kujipendekeza kwa rais, kigezo hicho Jenerali asingeweza kuwa nacho maana hajui kujikomba.
 
Umesimuliwa na asiyejua lolote.
Alipokuwa DC aligundua anapishana na wenzake ndani ya serikali hasa RC na RDD (RAS kwa sasa) kwa kutokufanya kazi kiubunifu bali kwa mazoea hivyo akajiuzulu.
Nilikuwepo Singida wakati huo kama kijana mtumishi wa Umma (serikali). Wote tulisifu maamuzi yake ya kishujaa lakini watawala huku wakiujua ukweli walifadhaika
Sasa ndiyo hiyo tabia yake ya kujiona tunayoisema, kwaiyo yeye alikuwa sahihi na RC na RDD ambao ndiyo wakuu wake wa kazi kiprotokali walikuwa hawajui kitu!!
Angekuwa na nidhamu ya uongozi angekuja kuwa ata RC au Waziri.Ulimwengu ana matatizo!
 
11 July 2022

Akihojiwa na wasafi media, kipindi exclusive kabisa msumari wa moto :

JENERALI ULIMWENGU - "MAGUFULI ALITUVURUGA, KURA ZIMEIBWA, MKAPA ALIWAPA MAKABURU BENKI, NDUGAI..."

Source : wasafi media
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Mbwakoko wa yule dhalim aliyeko motoni hamtaki kuambiwa ukweli
 
Hao wasomali Mkapa hakuwaondolea uraia.
Kuna sababu zenye mashiko kwa nini Jenerali aliondolewa uraia.
Alikuwa anamkosoa mkapa kwa
Nakubaliana na ww Ulimwengu anakuwa kama siyo msomi. Anapenda sana personal attacks kwa watu asiokubaliana nao kimawazo.
Mkapa kama ilivyokuwa kwa magufuli hakuwa anapenda kukosolewa. Alijihisi binadamu mwenye akili kuliko wote. Gazeti la rai kipindi hicho lilikuwa la moto. Likawa linampa za uso. Ilichorwa katuni moja ikimuonesha mkapa kama mtoto mdogo ananyonya dole huku akiimba msaada
Kwakuwa wengi hatuna hulka za kusoma nje ya mitandao ndo maana hata mtu akisema ukweli anaitwa adui wa taifa.
Jeneral ulimwengu ni mtu smart kweli kweli na huwezi mkosoa ukiwa umekula ugoro wako
 
Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.
Mkuu, 'Komeo Lachuma', hili uliloandika hapo kwenye mstari mmoja ndilo linalotakiwa kufanywa na ambao anawaponda yeye. Hapo nadhani ngoma itakuwa 'droo'.

Nilisoma kwa hamu andiko lako lote, nikijaribu kutafuta mifano ya hayo unayomlalamikia huyu jamaa, lakini naona sijui kwa nini hukutaka kutoa mifano halisi ili nasi tujionee wenyewe.
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Huku kusema, "kujidhani yeye ni 'very smart'; why not? Wewe mwenyewe hujidhani kuwa 'smart'? Utakuwa unaupungufu mkubwa kama unajiona wewe ni bwege tu hivi.

Kuna mengi nisiyokubaliana na huyo jama, lakini yapo anayoyaongelea yanayoonekana kuwa na mantiki pia.
Njia nzuri ya kufanya, kama hukubaliani naye juu ya jambo, nawe chukua muda kumweleza yeye na wasomajji/wasilikilizaji wake kwa nini huoni la maana katika anayosema yeye na kueleza sababu zinazokufanya uone hivyo.

Ukishafanya hivyo, nasi tulio pembeni tutafaidika kwa kupima mawazo yenu, na pengine kupata fursa ya kuchangia pande zote mbili.

Kwa hilo bandiko lako hapo juu, halitoi msaada wowote, si kwake, kwako wala sisi.

Sasa angalia ajabu iliyoje inayokuhusu kwa maneno yako mwenyewe" "Mwenye meno akicheka", kibogoyo hufanyaje?
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Mbona unalia lia tu ulikua unataka kesemaje Kwa mfano
 
Kwani Kinana, Bashe, Rage hawa si Wasomali?

Tushindane naye kwa hoja, anaweza hata asiwe na uraia wa nchi yoyote person non granta lakini yeye ni Mzalendo wa nchi yetu kuliko mzaramo Jafo.
Nilisita sana kuku'quote', lakini nimejikuta nikilazimika, kwa sababu ya hilo neno "Mzalendo".
Sijui kwa nini tunapenda sana kutumia hili neno hovyo hovyo tu!
 
Back
Top Bottom