Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Shida yenu Ccm hamtaki mtu mkweli.
Mna penda kuishi kiujanja ujanja tuu.
 
Taifa lolote BILA wazee Kama mzee Ulimwengu ,limekufa, alianza Ndugai kumsakama, yuko wapi ? Neno KWANZA Ulimwengu ni titishio, Sasa wewe unamuanzishia ugonvi Mzee wa watu utaweza, ?????
 
Huyu sio saiz yako kabisaaa, mambo mengine chunguza.

Hawa ni watu walojaa mambo mazito, watu ambao Putin anawajua kwa majina, marehemu samora aliwaheshimu... tulia usitafute kiki za aina hii

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Sio huyo peke yake anayeshindwa kumuelewa, wako wengi humu hawafanyi tafiti kumjua mtu wala hoja zake bali wanakurupuka kumshambulia kwa vile yuko straight na hajikombi.
Nikitafuta ndani ya serikali kumpata mkweli na mzalendo, mwenye historia iliyotukuka ndani na nje kama Ulimwengu simpati labda wanitajie maana naweza kuwa sijamfahamu.
 
Mkapa alimwondolea uraia.
Inadhaniwa ni mtutsi.
Sio kuwa anadhaniwa ni mtusi bali Ulimwengu ni Mtusi kweli kweli na alikuwa kiongozi wao wakati wanajiandaa wengine kurudi Rwanda. Sijui kwa nini yeye hakurudi labda kwa vile mke wake ni Mtanzania. Asitudanganye eti yeye ni mzalendo. Huo uzalendo ataupata wapi huyu?
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
pascal mayala mzee wa kuchongea-chongea kwa mlango nyuma.
 
Watutsi ndivyo walivyo huwa wanajiona wao ndiyo Wana akili kuliko jamii zingine, kwaiyo msimlaumu Jenerali Ulimwengu ndiyo asili yake kwao Rwanda.
Na mara nyingi watu waongea hovyo ukiwapa madaraka huwa wanafeli vibaya.Alikuwa DC alifanya nini?
Umesimuliwa na asiyejua lolote.
Alipokuwa DC aligundua anapishana na wenzake ndani ya serikali hasa RC na RDD (RAS kwa sasa) kwa kutokufanya kazi kiubunifu bali kwa mazoea hivyo akajiuzulu.
Nilikuwepo Singida wakati huo kama kijana mtumishi wa Umma (serikali). Wote tulisifu maamuzi yake ya kishujaa lakini watawala huku wakiujua ukweli walifadhaika
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Hivi umeshajiuliza ni kwanini bara la Africa liko nyuma sana kimaendeleo kuliko mabara yote japo ni tajiri wa mali asili zake ? Mimi nadhani ni kwa sababu watu wengi wanaoitwa wasomi na wanaotarajiwa kuelimisha jamii vizuri huwa wanaangalia zaidi maslahi yao ya mtu mmoja mmoja zaidi kuliko maslahi ya mataifa yao!! Ndio maana akija kiongozi anayeangalia zaidi maslahi ya Taifa huwa wakipata nafasi ya kumponda wanamponda sana!! Maana wanashangaa na kujiuliza huyu mtu ametokea wapi? Mbona sio mwenzetu huyu !!!
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Msema Ukweli nchi hii huitwa HATARI Watanzania sio Wajinga Kizazi cha Wajinga kimeisha Lazima Tuambiane UKWELI
 
Ndugu ulishazoea pumba za Magufuli basi maarifa ya Jenerali yanakutisha😀
 
Hata wewe unadhani Una akili kumbe bogus, nyie ndo mliohamishia akili tumboni.
 
Nakubaliana na wewe, pamoja na binafsi kumheshimu sana lakini he is too ignorant! Ikiwa hakupendi kwasababu yoyote ile anaweza kukutweza hadi ubaki uchi.
 
ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.
Sio mimi
stylin.gif
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Mbona hukuwahi kumkemea Musiba ?.... kauli za Jenerali zimemgusa bosi wako ndio maana umekereka, acha undumilakuwili.
 
Kwahiyo unapenda akili chovu za watanzania! Si Ulimwengu tu mwenye kujua ukweli aliousema, ya Uvccm yaache Uvccm.
 
Anafikiri watawala watampa bahasha kumzima
 
Back
Top Bottom