GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
- Thread starter
-
- #181
Karibu sana,Mamana naomba unisaidie, mi nna kiwanja heka moja huko kigamboni lkn ardhi yake ni kichanga na nnataka kununua greenhouse huku uingereza. ..je naweza watumia nyie kwa kuifunga na kufanya tathmini nyingine za ulimaji? Gharama zake hapo zinaweza kuwa kiasi gani kwa kukisia?
Nimeshakutumia,Basi nitumie mchanganuo ktk email chrisludos@gmail.com
Nimeshakutumia,
Karibu sana.
Hello,
Utakuwepo asubuhi hii Kigamboni nije?
Piga simu bosi sidhani kama anapatika JF full time
Hahaha, Asante kwa kunijibia ndugu.Piga simu bosi sidhani kama anapatika JF full time
Karibu sana, Nimeshakutumia.nimechukua number yako ya simu lakini naomba pia kupata details zaidi kwa email eddyenough@gmail.com
natanguliza shukranizangu
Ndugu sikupata simu yako wala hukutokea. Vipi Kwema?Eti eeeee?
Kweli aisee, ahsante Mkuu!
asante mamana ,ila tu tatizo langu niko (kizimkazi zanzibar)na ardhi yangu ni mawe ila huwa na mwaga udongo kwanza jee green house itafaa?naje itawezekana kutest udongo ninaoutumia ,naje hizo nguzo kwetu ni rahisi mno kupatikana na tank pia ninalo la lita 100,lakini naweza kusaiwa project ya kupata mkopo kidogo wa utengenezaji wa green house mama
MamaNa nakupongeza kwa kujitolea kutukwamua hasa sisi wastaafu. Nina kijana wangu yupo Urusi amenitaka nimpatie specifications za material zote kwa ajili ya greenhouse ili anitumie. Je, unaweza kunitumia ili nimpelekee avilete ili uje kunijengea. Mimi nipo Kerege, Bagamoyo. E mail yangu ni drgshoo@gmail.com. Natanguliza shukrani.
Hii idea nimeipenda sana hasa kwenye matumizi ya mbolea na dawa zisizo za kikemikali,ila hivi hii kitu kwenye maeneo yenye baridi kama Njombe inafaa? by the way nami naomba nitumie mchanganuo kwenye tommiejay58@gmail.com
Njombe na maeneo mengine yenye baridi kali inafaa kabisa. Kilimo hiki kimeanzia italy kwenye baridi kali wakati wa winter na sababu ya uvumbuzi ilikuwa ni kupambana na baridi.
Kuna vitu vya ziada utahitaji kama baridi linafika chini ya 15 degrees. Gharama ya ujenzi haiyokuwa sawa na sehemu zenye joto kwani itahitaji double layer ya materials, kwenye ventilation kutakuwa na mapazia ya kuzuia baridi wakati wa winter.
Tuwasiliane kwa simu kwa ufafanuzi zaidi.
Karibu sana.
Nb: mchanganuo nimeuandika hapa hapa kwenye post no 164.
Njombe na maeneo mengine
yenye baridi kali inafaa kabisa. Kilimo hiki kimeanzia italy kwenye
baridi kali wakati wa winter na sababu ya uvumbuzi ilikuwa ni kupambana
na baridi.
Kuna vitu vya ziada utahitaji kama baridi linafika chini ya 15 degrees.
Gharama ya ujenzi haiyokuwa sawa na sehemu zenye joto kwani itahitaji
double layer ya materials, kwenye ventilation kutakuwa na mapazia ya
kuzuia baridi wakati wa winter.
Tuwasiliane kwa simu kwa ufafanuzi zaidi.
Karibu sana.
Nb: mchanganuo nimeuandika hapa hapa kwenye post no 164.
Chanzo Kikubwa cha Maji cha hizi Greenhouses ni Mto au Kisima,
Nami nina eneo Liko Kibamba CCM karibu na Mradi wa Muhimbili ambalo halina Mto, hivyo option iliyobaki ni Kisima, sasa nitajuaje kama nikichimba hapo nitapata maji?
Pili eneo lina mwinuko kiasi, litafaa kweli?
Tatu nikitaka nikakuonyeshe eneo hilo ili unipe ushauri kabla ya kuanza michakato mengine utanichaji "sete visit" ya kiasi gani (Kama vipi nijibu PM)