GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
- Thread starter
- #181
Karibu sana,Mamana naomba unisaidie, mi nna kiwanja heka moja huko kigamboni lkn ardhi yake ni kichanga na nnataka kununua greenhouse huku uingereza. ..je naweza watumia nyie kwa kuifunga na kufanya tathmini nyingine za ulimaji? Gharama zake hapo zinaweza kuwa kiasi gani kwa kukisia?
Swala lako linawezekana kabisa, sasa naomba unipe link ya greenhuse unayotarajia kununua ili nisome description then nikupe maelezo kamili.
Ardhi ya kichanga sio tatizo, Tuwasiliane tuone jinsi gani nitapata sample na kuipeleka lab ili niweze kukushauri tutalimaje hapo.
NB: Kuwa muangalifu usije kununua Polytunnel. They dont work well in our hot-humid environment.