Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Pamoja Kaka keisangora, soon naandika andiko jingine kubwa🙏💪
 
Urafiki una gharama ndani yake, wengi hatulijui.
 
Mkuu EMMYGUY, keisangora, Mafian cartel, mna eza mkaleta maoni yenu.
👉Tuzungumzie nini katika andiko jipya, coz shida sio kuandika ila ni kuwaasilisha kitu Cha uhakika.🙏💪
Onyesha graduate aliyeko mtaani Hana hata Mia mfukoni Ila kichwani anayo maarifa anavyoweza kubadilisha to cash.

Pia mwajiriwa afanyeje biashara gani za uhakika ambazo hatokuwa anapigwa,Mana siku hizi Kuna watu wanafanya kazi ,anasevu hela later anafungua biashara anampa ndugu,rafiki,anaajiri mtu Bali Ila wote hao wanampiga ,kiasilia watu Ni wavivu ndio Mana wizi hautoisha milele na hakuna dini itakayokomesha wizi.
Unampa boda,hiace Kijana wiki ya kwanza anakuwa very active later unaletewa maneno,ama dukani bidhaa zinaisha na Hakuna hela unaambiwa akakopesha
 
Hiyo idea ya 2 keisangora ni Kama ume nigusa Kaka.
👉Nime choma tu pesa twangu twa maji, mpaka nikatolewa katika mstari.
 
Hiyo idea ya 2 keisangora ni Kama ume nigusa Kaka.
👉Nime choma tu pesa twangu twa maji, mpaka nikatolewa katika mstari.
Hii inawagusa wengi mno ,humu ukigusa kila mtu Ni mhanga,me too,Kuna jamaa alizira duka la boda spear parts,yaani hii inawaumiza wengi mno nakuambia. Umeona alichokiweka Kigwangallah Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…