Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Mfano mie my beliefs, mindset, thoughts Naona Kama twaendana Mana tuko the same planet travel journey. We can share stories,Mana siwezi kuleta za kula kimasihara wakati My 🧲 domains aren't alligned to it.
Once you share the same beliefs,etc automatic mnakuwa marafiki.
Pamoja Kaka keisangora, soon naandika andiko jingine kubwa🙏💪
 
umeandika kitu kizuri sana cha kujifunza hapa tunachanganya kati ya washikaji na marafiki. inawezekana wengi tunawashikaji na si marafiki na tunawakubali kuwa ni marafiki.
binafsi kipindi cha nyuma kuna rafiki zangu waliniumiza tokea wakati huo siwezi tena kumwamini mtu yeyote kwa yote na nimejikuta nimekuwa kama mhindi nafikiri imesaidia.
ifike wakati lazima tujue huyu rafiki niliye naye ana nini cha kwangu na kwangu anaweza kuhitaji nini?
ifike wakati tujue tunachotaka kwa kuwa tukijua tunachotaka tutajua thamani yake na pia tutatafuta jinsi ya kukupata na nani atusaidie kufikia tunachotaka na kwa njia zipi?
lakini gharama yake ikoje? je tupo tayari kulipa gharama ya anayetutegemeza kufikia lengo kusudiwa kwa kiasi gani?
ukienda uanacho cha kutoa utakuwa jasiri na utafanikiwa zaidi sio tuwe kama bahari inayotegemea maji toka kwenye mito na haikumbuki kutoa gawio kwa mito hata wakati wa kiangazi!
Urafiki una gharama ndani yake, wengi hatulijui.
 
Mkuu EMMYGUY, keisangora, Mafian cartel, mna eza mkaleta maoni yenu.
👉Tuzungumzie nini katika andiko jipya, coz shida sio kuandika ila ni kuwaasilisha kitu Cha uhakika.🙏💪
Onyesha graduate aliyeko mtaani Hana hata Mia mfukoni Ila kichwani anayo maarifa anavyoweza kubadilisha to cash.

Pia mwajiriwa afanyeje biashara gani za uhakika ambazo hatokuwa anapigwa,Mana siku hizi Kuna watu wanafanya kazi ,anasevu hela later anafungua biashara anampa ndugu,rafiki,anaajiri mtu Bali Ila wote hao wanampiga ,kiasilia watu Ni wavivu ndio Mana wizi hautoisha milele na hakuna dini itakayokomesha wizi.
Unampa boda,hiace Kijana wiki ya kwanza anakuwa very active later unaletewa maneno,ama dukani bidhaa zinaisha na Hakuna hela unaambiwa akakopesha
 
Hiyo idea ya 2 keisangora ni Kama ume nigusa Kaka.
👉Nime choma tu pesa twangu twa maji, mpaka nikatolewa katika mstari.
 
Hiyo idea ya 2 keisangora ni Kama ume nigusa Kaka.
👉Nime choma tu pesa twangu twa maji, mpaka nikatolewa katika mstari.
Hii inawagusa wengi mno ,humu ukigusa kila mtu Ni mhanga,me too,Kuna jamaa alizira duka la boda spear parts,yaani hii inawaumiza wengi mno nakuambia. Umeona alichokiweka Kigwangallah Instagram
 
Back
Top Bottom