Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #241
Nitarudi mkuu ngoja niendelee kufanya tafakuriGreatest Of All Time USI ishie kulike, Tia neno lako mkuu 🙏.
👉Kama mpambanaji 🙏
Pamoja mkuu🙏, tuna tumai itakuwa sio muda mrefu.Nitarudi mkuu ngoja niendelee kufanya tafakuri
Tia neno lako pia, tupate Cha kujifunzaSawa mkuu
ni kwavile mnaona last seen yangu tu, wapo makonki zaidi😂mshamba_hachekwi Guinness wakutafute ili wakupe record ya most online user🤒
Mtazamo na vipaumbele ni Jambo la kuzingatia Sana.Kweli kabisa Kuna jamaa yangu Huwa hanielewi kabisa ratiba zangu Kuna siku tulipata mda wa kukaaa pamoja mda mrefu kidogo hivyo nikamchukua na kumpleka nyumbani dah alishangaa Sana kuona nimejenga nyumba kubwa tena ya kisasa kabisa na Bado sijaoa na Wala sio mtu wa bata akawaananiambia Sasa bro unanyumba tayari kwanini Huli bata na utafuti mtoto mzuri umuweke ndani dah nilimshangaa Sana why anafikiria hivyo dah pale pale nikasema kweli tuko tofauti
Dah sema mi nakubali, una kitu angalau💪. mshamba_hachekwini kwavile mnaona last seen yangu tu, wapo makonki zaidi😂