Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Hii ni Hotel ya Azam pale Zanzibar, ni 5star hotel

Inaonekana iko vizuri sana, ngoja Pension yangu itoke niende nikapumzike na Bibi yenu 🤪🤪
Dogo acha kuota😂🤣, we Kama Bata kale.
👉Ila habari za uzee, tuta bishana mpaka jua little🤣😂
 
Njia sahihi ni imani, tangu nasoma nilikuwa naamuni Mimi ni mtu Bora na nitakuwa mtu mkubwa.
👉Sijawai kujichukulia simple, licha ya kukutana na mazingira mabovu.
Correct mind set..... Hili limenisaidia pia na linaendelea kunisaidia, kuna wakati mfumo unashindwa kukusaidia kuudhihirisha ubora uliopo ndani yako .

trusting in process na kujiongezea thamani(kujifunza vitu vipya) kunakuandaa kwa fursa yoyote ya kuonyesha ubora kwa baadae.
 
Mkuu Kuna kipindi nili pigika, nothing was going right.
👉Wanao kuzungukwa ndo majanga pia.
👉Ila still nili weza kushinda na kuwa tofauti nao
 
Rafiki bora ni Yesu Pekee wengine ni uongo hata mganga anayekutibu sio wakumuani , licha hawa masnitch marafiki ni masnitch hana haya wanaharibu , anaboa tu yaani . So kuwa na wasela ni bora . Kuliko rafiki unayemwamini
 
Dunu

Jitihada zako na mahangaiko haziwahusu.... Ngoja waone matokeo mhhhhhhhhhh utamjua mpaka shangazi wa shangazi yake shangazi. Ndivyo tulivyo binaaadam. Anyway hongera kwa mitihani ya maisha.
 
Rafiki bora ni Yesu Pekee wengine ni uongo hata mganga anayekutibu sio wakumuani , licha hawa masnitch marafiki ni masnitch hana haya wanaharibu , anaboa tu yaani . So kuwa na wasela ni bora . Kuliko rafiki unayemwamini
Ndoo maana akasema yule aliemuona "msifungwe nira pamoja na wasio amini". Kumbe inafaa tubaguane ilikuleta mchanganyiko wenye tija.

Sio kila mtu ni rafiki, wengine ni watu tunaofahamiana nao tu...

Wawezaje kutembea njia moko wasipokuwa wamepatana

Ndege wanaofanana ..............
 
Hakunaga angalia hii filamu "ROMEO MUST DIE " Angalia huyo muafrika alovyogeukwa na mtu anayemwamini hata wewe ulibwagwa na rafiki yako .
 
Back
Top Bottom