Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
1721587730706.jpg


Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi.

Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
 
Mtindo huo wa uezekaji ulitokea nchini ufilipino, sio mfumo mpya kabisa, ni mfumo ambao hata tanzania ulikuepo, kwenye ujenzi kila mtindo ulikuepo kinachofanyika ni kuuboresha tu kidogo
 
Back
Top Bottom