Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Asante kwa mchanganuo mzuri, lakini hiyo gharama ya vifaa vya ujenzi kutozidi 18 milioni sio halisi, umepunja bei.

Kwa mfano.
-Cement 6.5tonnes wastani 2milioni
-Tofali 5570 ni wastani 6milioni
-Kokoto na mchanga wastani 1.5milioni
-Nondo ni wastani wa 3milioni
-Mbao ni wastani wa 4milioni
-Bati ni wastani wa 4.5milioni
-Vifaa vingine ni wastani 1milioni
JUMLA ni wastani wa shilingi milioni 22
Hiyo nyumba ina gharama zaidi ya mil 55
 
Uliandika, nami nalikuelewa, lakini bado hiyo milioni 18 ni ndogo, labda useme kujenga boma tu pasipo kupaua.
Paa la hiyo nyumba nadhani linaweza kutafutana kati ya 7-10 milioni, nje ya Ufundi.
Kwa kijijin ni sawa

Kwa mjini 25
 
Wewe jamaa ni liongo. Paa tu hilo ni almost 15 million. Bado tofali ni almost mil 3, ceiling board almost 4 million, yaani hiyo nyumba ni 70 million. Unawadanganya wenzako uwatapeli
huu ni ukweli kabisa,
 
Sijapigia mm nyumba nzima
Sure sema ni muhimu kuelewa makisio yako unapoleta hapa jukwani ni makataba wa purchase vs sale agreement ya service yako sasa unapokuwa na kitu kichojificha wanajukwaa hawapaswi kuumbuka na buyer be aware hapo baadaye kwa kuanza kusema eti nilikuwa kila nikichovya ni shs 100 (wale jamaa wa kiwi matapeli hapa Dar na kumbe kachovya kwenye dawa mara 20).
 
Wewe jamaa ni liongo. Paa tu hilo ni almost 15 million. Bado tofali ni almost mil 3, ceiling board almost 4 million, yaani hiyo nyumba ni 70 million. Unawadanganya wenzako uwatapeli
Nyumba hiyo kukmalka kabusa lazima ujiandae million 100
 
Huku wakituma hela za ujenzi zinaliwa.

Jikalieni huko huko wachukueni na wazazi na msisahau mashangazi.
 
Back
Top Bottom