Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Nimeipenda .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kabisaUliandika, nami nalikuelewa, lakini bado hiyo milioni 18 ni ndogo, labda useme kujenga boma tu pasipo kupaua.
Paa la hiyo nyumba nadhani linaweza kutafutana kati ya 7-10 milioni, nje ya Ufundi.
Umewahi kujenga nyumba ?Uongo tangu mwanzo, mpaka hapo ushajionesha huaminiki.
Kinachokuuma?Watu wanakesha KLABU HAUSI masaa 24 WATAPATA wapi muda wa kukusikiliza jambo la maana?
Umeongea kisomi kabisa.Diaspora labda ambao wanakaa maporini huko.Serious diaspora anapanga kununua apartments za NHC au Makampuni Mengine.Huwezi kukaa Nje ya Nchi ukajionea Mifumo ya Makazi kisha ulibaki na huu ujinga wa Africa.Kila Mtu ajenge..apambane na Makampuni uchwara au Pesa ipotee Kwa Ndugu.No way.Nenda Upanga au hata Magomeni lipa Pesa hata Kwa awamu,ukimaliza unapewa Nyumba yako.Pana shared security,shared sewers,garden, supermarket etc.Unless huyo diaspora alibaki na uzuzu,Yaani alikwenda Nje ya Nchi Kwa treni au meli.
Bado kidogo sana yani hapo dollars elf8. Nampango wa kujenga kama hizo 1000.Asante kwa mchanganuo mzuri, lakini hiyo gharama ya vifaa vya ujenzi kutozidi 18 milioni sio halisi, umepunja bei.
Kwa mfano.
-Cement 6.5tonnes wastani 2milioni
-Tofali 5570 ni wastani 6milioni
-Kokoto na mchanga wastani 1.5milioni
-Nondo ni wastani wa 3milioni
-Mbao ni wastani wa 4milioni
-Bati ni wastani wa 4.5milioni
-Vifaa vingine ni wastani 1milioni
JUMLA ni wastani wa shilingi milioni 22
Bado ndogo tu yani dollars elf22 tuHiyo nyumba ina gharama zaidi ya mil 55
Vifaa vya finishing ( mabomba, madirisha, umeme, frame na top za milango) vinatafuna Hela balaa na hata hauoni zinapopotelea.Hiyo nyumba ina gharama zaidi ya mil 55
Lakini common sense tu ingetosha kumuelewaNi kweli hatutaki mambo ya buyer be aware hapa jukwaani, alipaswa atoe makisio ya gharama zote
UONGONyumba hiyo kukmalka kabusa lazima ujiandae million 100
Mil 100? Mnaichukulia powa?Ni kweli mkuu, tena na zaidi
Tupo pamoja Boss. Jamaa ametuwekea ili nasi tujiongeze. Kwa kweli ameturahisishia kazi.Lakini common sense tu ingetosha kumuelewa
Sijaona tatizo
Daaah kiongozi ndio ninacho pitia kwa sasa pesa inakata vitu uvioni kabisa. Frem za milango,top za milango na madilisha, tiles sink za chooVifaa vya finishing ( mabomba, madirisha, umeme, frame na top za milango) vinatafuna Hela balaa na hata hauoni zinapopotelea.