stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Vyumba 3 vya kulalani room ngapi na igarama ipoje
doohUnaambiwa milioni moja tu unahamia.....
hiden roof nyingi zinavujaView attachment 3049769
Ukijenga hvyo hidden roof jiandae nondo za kutosha
Sanaaahiden roof nyingi zinavuja
Hiyo hapo juu sio hidden roof hiyo hapo juu tunaita flat roofHidden roof yenye concrete Slab ni imara kuliko Hidden roof yenye mabati
Consultation fee 50kGharama mpaka kufika hapo bei gani?
Ahaaa Flat roof okay okayHiyo hapo juu sio hidden roof hiyo hapo juu tunaita flat roof
Gharama mpaka kufika hapo bei gani?
Consultation fee 50k
Wengi waulizaji tu seriously person atakuchek kwenye cm ipo paleKaribu tz mtu ana tangaza biashara yake, Kisha aki ulizwa swali kuhusu bidhaa yake.
Ana sema umlipe ili uifahamu zaidi.
Ndio,lazima kujenga,we unataka kutafuta hela ya kula tu ambayo yoyote anaweza hata mlemavulazima kujenga