Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Wengi waulizaji tu seriously person atakuchek kwenye cm ipo pale
Mkuu kwa hiyo umeleta hili tangazo kwa kuotea tu. Hii ni shida kwa wafanya biashara wengi mnashikwa hasira mkulizwa bei ya bidhaa mnayotangaza mtandaoni. Shida ni nini?

Umesema mwenyewe huo ujenzi ni wa gharama nafuu mtu anakuuliza mpaka hapo imegharimu kiasi gani hutaki kusema.
 
Hayupo seriously
 
Jenga nyumba imara usipunguze gharama za ujenzi

Fanya kitu kieleweke kidumu usifanye kujaribu jaribu.

Nmejifunza haya baada ya kujengewa hovyo na fundi aliekua anapunguza gharama
 
Nmeainisha kwa vijijini na kwa mjini
 
Hiyo nyumba mpaka ikamilike Kwa kiwango Cha kizuzi 100+m inakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…