Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Hiyo nyumba ina gharama zaidi ya mil 55
 
Uliandika, nami nalikuelewa, lakini bado hiyo milioni 18 ni ndogo, labda useme kujenga boma tu pasipo kupaua.
Paa la hiyo nyumba nadhani linaweza kutafutana kati ya 7-10 milioni, nje ya Ufundi.
Kwa kijijin ni sawa

Kwa mjini 25
 
Wewe jamaa ni liongo. Paa tu hilo ni almost 15 million. Bado tofali ni almost mil 3, ceiling board almost 4 million, yaani hiyo nyumba ni 70 million. Unawadanganya wenzako uwatapeli
huu ni ukweli kabisa,
 
Sijapigia mm nyumba nzima
Sure sema ni muhimu kuelewa makisio yako unapoleta hapa jukwani ni makataba wa purchase vs sale agreement ya service yako sasa unapokuwa na kitu kichojificha wanajukwaa hawapaswi kuumbuka na buyer be aware hapo baadaye kwa kuanza kusema eti nilikuwa kila nikichovya ni shs 100 (wale jamaa wa kiwi matapeli hapa Dar na kumbe kachovya kwenye dawa mara 20).
 
Wewe jamaa ni liongo. Paa tu hilo ni almost 15 million. Bado tofali ni almost mil 3, ceiling board almost 4 million, yaani hiyo nyumba ni 70 million. Unawadanganya wenzako uwatapeli
Nyumba hiyo kukmalka kabusa lazima ujiandae million 100
 
Huku wakituma hela za ujenzi zinaliwa.

Jikalieni huko huko wachukueni na wazazi na msisahau mashangazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…