Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Uongo tangu mwanzo, mpaka hapo ushajionesha huaminiki.
 
Kwa raman hiyo kijijin itakuwa bei zaid kyliko mjini
Issue ni upatikanaji wa vifaa ni shida
Usafir bei nk
 
Uliandika, nami nalikuelewa, lakini bado hiyo milioni 18 ni ndogo, labda useme kujenga boma tu pasipo kupaua.
Paa la hiyo nyumba nadhani linaweza kutafutana kati ya 7-10 milioni, nje ya Ufundi.
Sio kweli kabisa
 
Watu wanakesha KLABU HAUSI masaa 24 WATAPATA wapi muda wa kukusikiliza jambo la maana?
 
Diaspora labda ambao wanakaa maporini huko.Serious diaspora anapanga kununua apartments za NHC au Makampuni Mengine.Huwezi kukaa Nje ya Nchi ukajionea Mifumo ya Makazi kisha ulibaki na huu ujinga wa Africa.Kila Mtu ajenge..apambane na Makampuni uchwara au Pesa ipotee Kwa Ndugu.No way.Nenda Upanga au hata Magomeni lipa Pesa hata Kwa awamu,ukimaliza unapewa Nyumba yako.Pana shared security,shared sewers,garden, supermarket etc.Unless huyo diaspora alibaki na uzuzu,Yaani alikwenda Nje ya Nchi Kwa treni au meli.
 
Umeongea kisomi kabisa.
 
Bado kidogo sana yani hapo dollars elf8. Nampango wa kujenga kama hizo 1000.
 
Drawing ni nzuri ila tatizo ni kupata mafundi wa kuiweka nyumba kwenye uhalisia na hasa vipimo na viwango nikimaanisha
  1. Kupata fundi mwenye kuzingatia matumizi sahihi ya skwea, pima maji, cm au mm
  2. Kupata fundi mwenye kuzingatia ratio sahihi ya saruji, rangi nk
  3. Kunyoosha plaster, koplo, tiles, ceiling boards, wall box za swichi na soketi za umeme
  4. Kufitisha kwa usahihi madirisha na milango na materials sahihi (eg mbao kavu zilizo nyooka)
Ili nyumba ionekane kama ilivyo
 
Ni kweli mkuu, tena na zaidi
Mil 100? Mnaichukulia powa?
Kwa 3D hiyo hivyo hivyo ilivyo, Hakuna namna inaweza fika mil 100 labda uamue ww mwenyewe kuifikisha huko, kwa maana ya kulipa fundi na materials kwa zaidi ya gharama za kawaida
 
Don't be lured to believe that such a house can be constructed at that price! When a deal is too good, shituka! Diaspora mtaweka mikono kichwani!
 
Vifaa vya finishing ( mabomba, madirisha, umeme, frame na top za milango) vinatafuna Hela balaa na hata hauoni zinapopotelea.
Daaah kiongozi ndio ninacho pitia kwa sasa pesa inakata vitu uvioni kabisa. Frem za milango,top za milango na madilisha, tiles sink za choo






KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…