Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Taahi.ra wewe...alipewa na nani kama sio sisi the majority? we ni nani wa kutupangia sisi watanzania tulio wengi tuongozwe na nani?
Hakustahili kupewa madaraka makubwa kama ya urais,alifaa kwenye nafasi ambazo kuna mtu wa kumdhibiti pale inapoonekana anaboronga.
 
Na Ramini tuliyowekewa wakati wa ujenzi haujaanza mbona sio hiyo ya dara lililopo kwa sasa?
 
Tujulishe mkuu, unasema siyo la TANESCO, ni la nani?
Tena kwenye kiwanja cha Serikali?
 
Taahi.ra wewe...alipewa na nani kama sio sisi the majority? we ni nani wa kutupangia sisi watanzania tulio wengi tuongozwe na nani?
Wewe utakuwa ni miongoni mwa wale mazuzu.
Pole sana kwa kumpoteza mkuu wa mazuzu.
 
Pride (but this one is of DESTRUCTION); of which is useless and maniac in nature.
 
Wewe utakuwa ni miongoni mwa wale mazuzu.
Pole sana kwa kumpoteza mkuu wa mazuzu.
Hehe..huwa siargue na wapumliwa visogoni mimi, alipiga marufuku vilainishi pia enh? utampenda vipi mla ngada wewe?
 
Hehe..huwa siargue na wapumliwa visogoni mimi, alipiga marufuku vilainishi pia enh? utampenda vipi mla ngada wewe?
Kunywa maji kwa wingi halafu upumzike kidogo,yule keshaondoka na hawezi kurudi utapasuka bure.
 
Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowasa. Matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowasa..

Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Na kile kitendo cha kupigwa stop na Mzee wa Msoga asilivunje alipokuwa waziri alikaa nacho rohoni kusubiria tuu, so alivyopata nafasi akataka kulipiza..
 
Hivi alipo sema libomolewe mara ya kwanza, kabla ya kuwa Raisi - sababu zilikuwa zipi? Maana tusije kuwa tuna changia kwenye uvunjifu wa sheria za nchi!
Tena kweli, kwanini wezi, wabakaji, wauwaji, wanazuiwa kufanya kazi zao? Usikute hii ni roho mbaya ya viongozi na vyombo vya usalama na mahakama. Waache wafanye wanayotaka, maana hii nchi ya demokrasia! Ulaya na Marekani wana uhuru huo, lakini nchi zetu hizi - zimejaa roho mbaya! Ukitaka kujenga barabarani unazuiwa! Si wapite pembeni tu!
 
Taahi.ra wewe, umeanzisha uzi bila kujua hata unachokiandika? tukianika mambo ya hili jengo humu hao wanaowatuma watahimili? yajayo yanafurahisha.
Ndiyo maana tumeuliza swali rahisi tu.
Sasa taahira nani mwenye swali au anayeshindwa kujibu.
Halafu ni mijitu mijinga mijinga kama ninyi mnaweka vitu makwapani na kuvimba hadharani,
Sema kijana ueleweke.
 
Ongezea na mashoga na wauza mihadarati afu wakikujibu hapa nitag mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…