Ila kule Mwanza sio nchi hii tunayoongelea? Au ndio Burundi kwenu?Kwahiyo Ulitaka hili nalo liachwe! Na lile na hilo, mwisho yote yaachwe, pamoja na ya kwake aliyo pindisha! Imagine, nchi itakuwa vipi!
Lingekuwa la shirika au la umma lisingebomolewa siyo?
Marehemu kaumiza wengi sanaHuyo jamaa alikuwa anajali sheria? Yeye alikuwa ni kanyaga twende! Unajua huku chini tunalalamika sana kuhusu jamaa, ila chamoto walikuwa wanakiona akina Majaliwa na mawaziri wake, jamaa alikuwa hana staha kabisa, anatukana kila mtu!! Leo hii unapomsikia Majaliwa anakomaa Samia aendelee hadi 2030 ni kwamba haamini hii ahueni aliyopata, and hataki kusikia or kuona mambo waliyopitia yanajirudia 2025! Na 2030 watafanya kila aina ya figisu asiingie tena mtu wa type ya Marehemu
Alikuwampumbafu kwanini alibomoe?Kwani ilo jengo linawauma nini hasa? Zilibomolewa nyumba huko kimara kibao, pale pembeni kulikuwa na jengo la Wizara ya Maji nalo likabomolewa wala hamyaoengelei ayo lakini kutwa ilo jengo tu la Tanesci tena sio la shirika hapana! Shida nini haswa hapo?
Unajua kama aliingilia mchakato wa uuzaji wa nyumba za serikali na kuwauzia nyumba kwa upendeleo baadhi ya watu ambao hawakuwa na sifa ya kuuziwa nyumba hizo akiwemo hawara wake na mdogo wake,pia alihusika na ufisadi katika ununuzi wa boti tena kwa gharama za juu boti iliyokusudiwa kufanya safari zake kati ya Dar na Bagamoyo kwa kununua boti mbovu ambayo haikuwahi kufanya kazi iliyokusudiwa hata siku moja hadi alipokuwa rais kwa kuficha aibu hiyo kubwa aliamua kuitoa kwa jeshi,hiyo ni machache tu lakini kafanya mengi."Maslahi yake binafsi", mnajua wewe na nani? embu tujuze na sie tujue.
Kwamba Magu hadi anavunja hilo jengo hakujua kua sio la Lowasa? Hii haiwezekani.Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowassa. Matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowassa..
Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
PumbafuTaahi.ra wewe, umeanzisha uzi bila kujua hata unachokiandika? tukianika mambo ya hili jengo humu hao wanaowatuma watahimili? yajayo yanafurahisha.
Kaburi lake lilinKunywa maji kwa wingi halafu upumzike kidogo,yule keshaondoka na hawezi kurudi utapasuka bure.
Yaani majaji niwape hela mimi halafu mtu ashitaki ashinde kesiKwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.
Kama alikataza kubomolewa nyumba za aliowaita "wapiga kura wake" kule mwanza alishindwa nini pia kuliacha lile jengo ambalo ni mali ya umma!Kwahiyo Ulitaka hili nalo liachwe! Na lile na hilo, mwisho yote yaachwe, pamoja na ya kwake aliyo pindisha! Imagine, nchi itakuwa vipi!
Usiwasemee watu sema ni wewe kwa mahaba yako binafsi.Watanzania tuliongopewa, tukaelewa tukaridhika na tukaupenda huo uongo, kwa nini mnateseka sana?
Asante!Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowassa. Matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowassa..
Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Sanaa Mkuu, me mwenyewe ni mhanga mmojawapo wa MarehemuMarehemu kaumiza wengi sana
Why mnamuoverrate huyo mtu? Alikuwa hashirikishi ubongo kwenye uamuzi wake, Sijui mnataka ushahidi gani nyie watu mjue huyo jamaa yenu alikuwa hafai, Msaidizi wake aliyemwamini kuliko wote ni Bashite (Unataka maelezo yeyote kuhusu mtu aliyemwamini Bashite kama msaidizi wake namba moja????!!!!!)Kwamba Magu hadi anavunja hilo jengo hakujua kua sio la Lowasa? Hii haiwezekani.
Hehe..ukiacha kupumliwa kisogoni ndo utajua kwamba serikalini hakuwawa na mtu aitwaye Bashite, yote na yote, yeyote alomshauri JPM kutuongoza vile sisi watanzania tulimpenda na yeyote afanyaye kinyume ajiandae maana yajayo yanafurahisha.Why mnamuoverrate huyo mtu? Alikuwa hashirikishi ubongo kwenye uamuzi wake, Sijui mnataka ushahidi gani nyie watu mjue huyo jamaa yenu alikuwa hafai, Msaidizi wake aliyemwamini kuliko wote ni Bashite (Unataka maelezo yeyote kuhusu mtu aliyemwamini Bashite kama msaidizi wake namba moja????!!!!!)
Yajayo yepi chief? Kubali kuwa you are already fooked, wait for 2040....Hehe..ukiacha kupumliwa kisogoni ndo utajua kwamba serikalini hakuwawa na mtu aitwaye Bashite, yote na yote, yeyote alomshauri JPM kutuongoza vile sisi watanzania tulimpenda na yeyote afanyaye kinyume ajiandae maana yajayo yanafurahisha.
Na pia kama angekuwa mwananzengo lisingeguswaHilo jengo lingekuwa Chato lisingeguswa.