Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Unaanza kuleta opinions badala ya facts.

Kamati kuu ilikuwa wapi kama alifanya maamuzi peke yake ?

Kwani wakati huo CHADEMA kilikuwa na mfumo wa kura za maoni kwa wagombea urais ?
 
Usitake nikutukane mjinga weye yaani Kwa akili zako timamu ukaamini lile jengo katika majengo yote mjini daslam ndio lilikaa kwenye hifadhi ya Barabara?
Kwa mipango miji Gani hapa bongo?
Acha vituko broo Kwa mipango miji hiiii hiiiii aaaa wee nakataaa Ile ilikua roho Mbaya ya mtu pori jiwe kuwakomoa watu Fulani Kwa ushamba wake Wa kibush bush

Yule jamaa alikua mshamba Sana!
(In Comred Kinana voices)
 
Unaanza kuleta opinions badala ya facts.

Kamati kuu ilikuwa wapi kama alifanya maamuzi peke yake ?

Kwani wakati huo CHADEMA kilikuwa na mfumo wa kura za maoni kwa wagombea urais ?
Hahaha, dingi unaleta bla bla nyingi! let me ask you one question, ulifurahishwa na ugombea urais wa Lowasa kupitia chama chenu?
 

Tanesci ni shirika la wapi?
 
Ukikitukana nakupiga ban. Yumkini hata ukiwekewa michoro na.sheria utabisha kwa nguvu zote.Sawa tufanye uko sahihi.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha, dingi unaleta bla bla nyingi! let me ask you one question, ulifurahishwa na ugombea urais wa Lowasa kupitia chama chenu?
Unaanza kutafuta maoni yangu binafsi?

I can tell you 2015 nchi ilienda kwenye uchaguzi bila chaguo.

No one was fit for the office.
 
Unaanza kutafuta maoni yangu binafsi?

I can tell you 2015 nchi ilienda kwenye uchaguzi bila chaguo.

No one was fit for the office.
Fk me hrd hahahahaha.......Mimi nilikuwa team Lowasa, hadi kesho naamini ndiyo mtu angetuvusha kutoka kwenye ujinga tulionao...the guy have visions and he knows where we are supposed to go as the nation
 
Fk me hrd hahahahaha.......Mimi nilikuwa team Lowasa, hadi kesho naamini ndiyo mtu angetuvusha kutoka kwenye ujinga tulionao...the guy have visions and he knows where we are supposed to go as the nation
Lowassa hana na hajawahi kuwa na vision yoyote inayoeleweka kuhusu kutatua matatizo ya nchi hii.

Lowassa anaitazama nchi katika mtazamo ule ule wa ccm wa kujenga madaraja, barabara na mashimo ya vyoo vya shule.

Niambie vision yake ni ipi uliyokuwa unaiona wewe ???
 
Leo kila kata ina shule, ni vision yake kabla hawajamuondoa kwa sababu za uswahili swahili, angeendelea na kumalizia uwaziri mkuu wake leo hii top 3 ya wanafunzi bora wangekuwa wanatoka shule za kata, maana baada ya kumaliza majengo alikuwa anaenda kuhakikisha elimu inayotoka huko ni bora, wahuni wakamchafua wakishirikiana na upinzani
 
Mpaka mwaka 1999 government schools zilikuwa zimeshazidiwa wanafunzi zilikuwa haziwezi tena kuchukua wote.

Wakaanzisha Community schools lakini zilishindwa kumatch demands iliyokuwepo mtaani, ongezeko hili lilichangiwa na kufanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kwa mpango wa MMEM wakati Mpango wa MMES ulikuwa ukisuasua.

Kwa mpaka 2005 n 2006 wazo la kujenga shuleni katani was an obvious option to every Tom and Jeryy.

Mtu hakosi mazuri the positive thing about that guy is his ability to mobilise resources na kuinfluence.
 
Lowassa hakuchafuliwa na upinzani walikuwa wanachafuana ccm wenyewe wapinzani walitumia advantage hiyo kwa sababu ccm toka uchaguzi wa 2005 hawategemei ubora wa sera zao bali wanaangalia aina ya mgombea ndiyo maana upinzani waliwekeza sana kwenye kushambulia personalities za wanaccm kwa sababu ndiyo ilikuwa political capital ya ccm.
 
"Mtu hakosi mazuri the positive thing about that guy is his ability to mobilise resources na kuinfluence."- He had connections, and also the goodwill for the nation, kama utajiri alishakuwa nao zamani, then what happened? Kuchafuliwa na kila mtu kupitia hela za JK, kinachokera zaidi wapinzani nao wakahongwa kumchafua jamaa, Mwanahalisi (Kubenea wa CDM) and TZ Daima (Ya Mbowe) kila siku habari za jamaa fisadi, then wakabadilikiana wakamchukua huyo fisadi awe mgombea wao, Shida tupu siasa zetu
 
Operesheni ya kumchafua Lowasa kwa upande wa upinzani walipewa Mwanahalisi (Kubenea), and TZ Daima (Mbowe), then 10 bora ya mafisadi iliyotangazwa na Slaa Mwembeyanga (But Mlengwa mkuu alikuwa Lowasa), hao wengine walikuwa ni "collateral damage"
 
Siasa ni mchezo unaobadilika kila baada ya lisaa unahitaji maarifa mengi sana kuucheza.

Lowassa alichafuliwa zaidi na wanaccm kwa sababu ndani ya chama he was an obvious threat kwa kila mtu aliyekuwa na ambitions za urais.

Same kwa upinzani alikuwa ni obvious target kwa sababu chama mlikivisha makoti ya watu kila aliyechafuka na chama kilichafuka.

Unategemea wapinzani waache kutumia hiyo advantage ?
 
Kuhusu kumteua kuwa mgombea wao ni dynamics za siasa tu.

Lakini hili nimeshakupa msimamo wangu kuwa tulipewa uchaguzi usio na chaguo no sober person would have elected Magufuli or Lowassa to the state house.
 
Unaweza kuniambia nateseka kivipi!!!??
 
You are right on this
 
Kuhusu kumteua kuwa mgombea wao ni dynamics za siasa tu.

Lakini hili nimeshakupa msimamo wangu kuwa tulipewa uchaguzi usio na chaguo no sober person would have elected Magufuli or Lowassa to the state house.
Ilikuwa ni ngumu, ila uamuzi wa CDM kumchukua Lowasa was wrong, To me ni bora kupata 15% ya kura kutoka kwa Slaa kuliko 40% za Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…