Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata historia huijui!!! Na huna kumbu kumbu kabisa!Inamuhusu nini kuungua kwa jengo?
Mna roho mbaya kwa Uislam wake tu.
Tuliokueepo wakati wa nyerere, ilichomwa moto benki kuu na wizara ya mambo ya ndani na hakuna aliyenyua sauti.
Msifikiri mahasidi hatuwafahamu.
Ukiwa MP, Huwa unajibu majibu ya juziUmekosa la kujibu, dawa imekuingia.
Usipo kua equiped usisogelee moto ni hatare Sanaa.Mkuuu muambie mkuu
Sema unaweza ukiwa shujaaa kama majaliwa mkuu wanuokozi bukoba ndege
Mkuu nendaaa mkuuu
Bila shaka Zimamoto wako njiani
Abdul mpumbavu sanaJengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
Kuna Server, huwezi kuiba, huenda huo ni ajali kama zingine tu.Wameamua kuficha ushahidi wa wizi wao sio!!?
Au wanamkomesha mwenyekiti kikuu!!?
Huwa haifanyiki kwa bahati mbaya!
Server 😕Kuna Server, huwezi kuiba, huenda huo ni ajali kama zingine tu.
WAcheni negative perception dhidi ya Serikali kila wakati, Je hamjaona mtu nyumba yake inaungua na anazimia au kufa kabisa, huwa anachoma ili kuficha? kwanini serikali soko likiungua au ofisi mnakimbilia kuona si ajali ?Washapiga aisee hii nchi kila mtu kibaka tofauti ni approaching tu
Waokozi wapo ikulu wanakula bata na maza hukoUnatakaa habari mkuu badala usogee ukasaidie kuzima moto 😂😂😂😂
Kama umejiridhisha kuwa ni % ku wa basi wameuchokamfumo. Lkn inaweza kuwa wachache kwenye mitandao ambao hawawakirishi wengiHii nchi asilimia kubwa ya raia wanaiombea mabaya tu...🤣