Jengo la TRA Mnazi Mmoja laungua moto

Jengo la TRA Mnazi Mmoja laungua moto

Vijana Tanganyika,wanafanya kazi saa ngapi???
Ni vikao,kusafiri,kusifia🙃
 

Attachments

  • IMG-20250130-WA0037.jpg
    IMG-20250130-WA0037.jpg
    96.1 KB · Views: 4
Kwa mwonekano wa video moto umeanzia top floor ambapo chini yake ni floor no 4.. Ambayo ni Investigation department..mafaili yake yote yanakaa juu kuliko anzia moto
Ngoja niishie napo🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿

Vina Uhusiano Mkubwa na wa Moja Kwa Moja.
 
Back
Top Bottom