Jengo la TRA Mnazi Mmoja laungua moto

Inamuhusu nini kuungua kwa jengo?

Mna roho mbaya kwa Uislam wake tu.

Tuliokueepo wakati wa nyerere, ilichomwa moto benki kuu na wizara ya mambo ya ndani na hakuna aliyenyua sauti.

Msifikiri mahasidi hatuwafahamu.
Hata historia huijui!!! Na huna kumbu kumbu kabisa!
BOT iliungua kipindi cha mwalimu!!
Au madras.. ilikuchanganya
 
Moto umezuka katika jengo la ghorofa Mtaa wa Lumumba, Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…