Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Lazima Kuna upigaji......
Walininyima kufanya field kenge haoJengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
๐Naona moto unazidi kuongezeka hasa kwenye ghorofa ya juu kabisa...
Vina Uhusiano Mkubwa na wa Moja Kwa Moja.
Ongeza nyama kidogo.Vina Uhusiano Mkubwa na wa Moja Kwa Moja.
Penye moto pana kuteketea, ngoja wateketezane!!Wahenga waliishia penye Moshi pana moto lakini hawakusema kwenye moto Kuna nini ,hapa wahenga wangesema kitu tujue.
Huenda vina Uhusiano Mkubwa au wa Moja Kwa Moja.
Hapo watu wanapoteza ushahidi.Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
==============
Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo - Dar es salaam.