Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #81
Kuna mengi Sana mkuu..Kuna walakini mkubwa.Kwa mwonekano wa video moto umeanzia top floor ambapo chini yake ni floor no 4.. Ambayo ni Investigation department..mafaili yake yote yanakaa juu kuliko anzia moto
Ngoja niishie napo๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
View attachment 3218685
Anapenda tafrija huyu bibi .Sisi tuko huku! Kila MTU ale kwa urefu wa kamba yake
Nyenyuaโ๏ธInamuhusu nini kuungua kwa jengo?
Mna roho mbaya kwa Uislam wake tu.
Tuliokueepo wakati wa nyerere, ilichomwa moto benki kuu na wizara ya mambo ya ndani na hakuna aliyenyua sauti.
Msifikiri mahasidi hatuwafahamu.
Ungekuja June tunapokea watu kibaoWalininyima kufanya field kenge hao
Hamna kitu majamaa wanapeana nafasi kwa undugu,,, bora yangekufa hata manneUngekuja June tunapokea watu kibao
๐๐๐๐Hii nchi asilimia kubwa ya raia wanaiombea mabaya tu...๐คฃ
Si ulitaka internship pekee au ajira kabisa?Hamna kitu majamaa wanapeana nafasi kwa undugu,,, bora yangekufa hata manne
Field au hukusoma nilivyoandikaSi ulitaka internship pekee au ajira kabisa?
Poa poaField au hukusoma nilivyoandika
Hutaki kusubiri uchunguzi mkuu ๐Mbinu 'imetiki', ushahidi umeteketea๐. "Viofisi" vidogo tu na nyumba zetu za "kilalahoi" zina mifumo ya utambuzi wa cheche na moshi kiasi kuwa moto unazimwa ndani ya sekunde chache. Je! Jengo la TRA si zaidi?
Hivi TRA wao kodi wanalipa kwa nani?
Kwa mazaHivi TRA wao kodi wanalipa kwa nani?
WAcheni negative perception dhidi ya Serikali kila wakati, Je hamjaona mtu nyumba yake inaungua na anazimia au kufa kabisa, huwa anachoma ili kuficha? kwanini serikali soko likiungua au ofisi mnakimbilia kuona si ajali ?
Kama hayo yanatokea mjini hapo makao makuu ya Zimamoto, itakuwaje mikoani?Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
==============
Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo - Dar es salaam.
Servers nafikiri kuna backups za kutosha kwa karne hii! Mambo yataenda km kawaida! ๐Documents zote ziungue na servers tuanze upya.