kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] le mutuz alivyolibeba hilo Tumbo lake na hiyo mikono sasa dah kama ana mimba vile
Siku ya tukio la Lissu kushambuliwa kwa SMG hawa watu watatu walikuwa wapi???
Walibebwa kivip mkuu em fafanua zaidi, hizo fitina ni fitina zipi? Kuwa na mgogoro na wasanii wawili sio kigezo cha kisema hawa jamaa ni wafitini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kujidanganya hao clouds fm walibebwa sana kipind cha kikwete na kujikuta wao ni miungu watu . full kuwafanyia vitina wasani na kiukwel clouds ni wanafiki wa kiwango cha PhD . sasa hiv ni lazima washushwe ili mwingine apande kipind hiki utawala huu . naona E fm wataendelea kupanda kama kawaida mwanzo mwisho
Binafsi nasema hiv acha wanyoshwe wapuzi hao
Safi sana makonda
Maana yake nini hilo fumboNa kitendo cha Clouds kumuita "KAA" Makonda, pia kimechangia kumfanya awe Mbogo.
πππYaani hawa maafande njaa kwa hili sekeseke la Bashite na CMG ndo wanajifanya kuzinduka..? waache unafiki wapuuzi hawa, kazi yao ni moja tu......kufuata kauli ya maliyamungu na malaika mkuu fullstop!Wakuu kuna ishu inaendelea huko makao makuu ya Polisi kuhusu jeshi la Polisi kutumika Kwa matakwa ya mtu binafsi.
Huu ujumbe nimepenyezewa kwamba mambo si shwari kabisa.
"Kuna hatari mbele kuelekea 25.11.2017 Makonda anatakiwa kutambua hili-huku nikutugawa maofisa wa Jeshi vipande vipande na mwisho wa siku jeshi zima.
Ni vizuri sasa hali hii isijirudie na kuelekea 25.11.2017. OCD wa Kinondoni alihamishwa kitengo kingine kuepusha purukushani wakati wa sekeke la Uvamizi wa Clouds na kulinda heshima kati ya IGP na Maofisa wadogo.
Kwa upande wa Wananchi subira ya vuta heri-hatua na uamuzi uliofanywa katika Fiesta siyo kuwakomoa ni kuwanyima wakazi wa Dar burudani tunapaswa kuwa na busara sana lakini tusinyamaze.
Nimemuandikia bwana mdogo Email juu ya kuchukua hatua ya kuuarifu umma na kutoa Taarifa rasmi kwenye mamlaka husika juu ya huu unyama, ikibidi nimemuambia azungumze kwenye kipindi kesho.
Kufanya hivi kutawafungulia milango mbele ya Safari kuwa ni nani mchawi na nani anastahili kubeba Mzigo haiwezekani tutumiwe na mtu mmoja Kwa maslahi yake binafsi. Ugomvi ule ulimalizika sielewi kwanini sasa kuna vita hivi na sisi Polisi tutaoneka wabaya tukitumika kwa matakwa ya mtu binafsi.
Kesho tuonane Collesum, Nipo Safarini kwasasa.
Huo ndiyo ujumbe nilionyetishwa wakuu.
Mungu anipe uzima tu siku nije nione serikali mpya hawa watu ndio watajuwa mji una wenyewe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] le mutuz alivyolibeba hilo Tumbo lake na hiyo mikono sasa dah kama ana mimba vile
me sitasahau miaka 5 iliyopita walivyowaharibiaga timesfm waliandaa tamasha wakaleta na msanii kutoka nje sikumbuki alikuwa nani, huwezi amini clouds nao wakaandaa tamasha tarehe hiyo hiyo wakawaleta nakumbuka ilikuwa p square enzi hizo ndo wanavuma balaa, yani lile tamasha la timesfm ilikuwa hadi huruma jukwaa lililkuwa tupu kabisaaa watuu waote waliishia kwenye tamasha la clouds, alafu baada ya hapo wanaweka jingo za kejeli, acheni yawapate na bado mana makonda ana hasira nao hatariMIAKA KADHAA NYUMA CLOUDS WALIKUA JEURI SANA SANA SANA
WAULIZE
SUGU
JIDE
MNAKUMBUKA JIDE ALIANZISHA SHOW MOJA CLOUDS WAKAPANGA YAO SIKU HIYOHIYO
WAKAFANYA PROMO SANA
JIDE AKABADILI
NAO WAKABADILI
JIDE AKAPANGA SIKU NYINGINE
CLOUDS WAKAPANGA SIKU HIYOHIYO
HUKU JAYDEE VS MWANAFA WA CLOUDS
NA WAKADANGANYA RAIA ANGELETWA MSANII KUTOKA NJE
HAIKUA HIVYO
WAHENGA WAKIZUNGU WANASEMA
'WHATS GOING AROUND COMES AROUND '
walikua KAA sasa wanawaona wenzao ndio KAA