CCM kwa CCM, ulitegemea nini?
Ni marufuku kada kumwajibisha kada.
Ufumbuzi hutafutwa pole pole na kimya kimya
Huwezi kuamini tuna awamu ya sita badala ya tano.
Chama kile kile, watu wale wale na kazi inaendelea.
Mkimalizana nae katika hili Mamlaka nyingine imkamate kwa Kosa la Kudhulumu Mishahara na Stahiki za Wafanyakazi ( Waandishi wa Habari ) wa iliyokuwa Media ( hasa Gazeti ) akiongozwa na Marehemu Dada Yamola.
Gentamycine; alazwe mahali pema peponi Sophia Yamola.
Msama mjanja mjanja aliye shirikiana na wajanja wajanja wa mjini kufanya ujanja ujanja kumiliki viwanja.
Arobaini zake ziketimu.