Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

CCM kwa CCM, ulitegemea nini?
Ni marufuku kada kumwajibisha kada.
Ufumbuzi hutafutwa pole pole na kimya kimya
Huwezi kuamini tuna awamu ya sita badala ya tano.
Chama kile kile, watu wale wale na kazi inaendelea.
Angalia Millad Ayo
Amekutana na waziri ofisini kwake wizarani na waziri amemwambia arudishe viwanja.
 
Mkimalizana nae katika hili Mamlaka nyingine imkamate kwa Kosa la Kudhulumu Mishahara na Stahiki za Wafanyakazi ( Waandishi wa Habari ) wa iliyokuwa Media ( hasa Gazeti ) akiongozwa na Marehemu Dada Yamola.
Gentamycine; alazwe mahali pema peponi Sophia Yamola.
Msama mjanja mjanja aliye shirikiana na wajanja wajanja wa mjini kufanya ujanja ujanja kumiliki viwanja.
Arobaini zake ziketimu.
 
Back
Top Bottom