Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.

Taarifa kamili hii hapa

====

View attachment 2946262

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kujisalimisha kwa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dar es salaam akiwa na baadhi ya watu waliouziwa eneo la viwanja namba 1 kitalu 22 lililopo Kibada Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam ili kurejesha kwa wananchi eneo hilo lijengwa shule ya sekondari.

Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara katika eneo hilo Manispaa ya Kigamboni baada ya mgogoro huo kuwa wa muda mrefu kati ya wananchi wa eneo hilo na baadhi ya watu walionunua eneo la shule akiwemo Allex Msama.

Aidha, Waziri Silaa amemtaja Alex Msama kuwa ni tapeli namba 3 wa viwanja jijini Dar es salaam na tayari ameishaagiza baadhi ya maeneo anayoyamiliki kinyemela kunyang’anywa ikiwemo eneo la wazi na eneo la fukwe lililopo Mbweni Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Mwanahalisi Digital
Alex Msama ameyatimba. Huyu ni tapeli, dhulumat, mwizi, mwongo na msafirishaji wa madawa ya kulevya kwa kutumia watu wa injili.

Halafu huwa anajifanya mtu wa dini na mtu wa kujifanya karibu na viongozi wa Serikali.

Jerry Silaa piga kichwani huyu nyoka
 
Msama mzushi tu miaka nenda rudi.....
Kuna wakati fulani alifungua mgahawa wake pale jirani na bestbite,mbeleni huko si akataka kumfanyia figisu yule mama mwenye eneo,kumbe yule mama mme wake mtu mzito,msama aliondolewa pale kama mwizi
Jambo lolote ukifanya na msama lazima uzushi uzushi utakuwepo

Ova
 
Jamaa ni tapeli mkubwa sana wa viwanja na amewashika watu wa ardhi wote hata huyo kamishna unaweza kukuta ni mtu wake so waziri akitaka kumkomesha msama adeal nae mwenyewe. Msama anaweza hadi kuiba viwanja vya serikali haogopi wanashirikiana na watu wa wizarani.

Ile wizara wangeifumua yite kuna majizi pale hatari sana.
Msama ameishika hadi Mahakama. Pale Mahakama kuu kuna kesi nyingi tu zinafunguliwa dhidi yake lakini Majaji wanajigeuza geuza tu.

Bado Msama anafanya biashara kama dalali wa Mahakama
 
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.

Taarifa kamili hii hapa

====

View attachment 2946262

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kujisalimisha kwa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dar es salaam akiwa na baadhi ya watu waliouziwa eneo la viwanja namba 1 kitalu 22 lililopo Kibada Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam ili kurejesha kwa wananchi eneo hilo lijengwa shule ya sekondari.

Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara katika eneo hilo Manispaa ya Kigamboni baada ya mgogoro huo kuwa wa muda mrefu kati ya wananchi wa eneo hilo na baadhi ya watu walionunua eneo la shule akiwemo Allex Msama.

Aidha, Waziri Silaa amemtaja Alex Msama kuwa ni tapeli namba 3 wa viwanja jijini Dar es salaam na tayari ameishaagiza baadhi ya maeneo anayoyamiliki kinyemela kunyang’anywa ikiwemo eneo la wazi na eneo la fukwe lililopo Mbweni Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Mwanahalisi Digital
Eti promota wa nyimbo za injili ,tamasha la pasaka?
Mkiambiwa dini ya ukristo ni kiota cha kile ndege mchafu muwe mnakubali.
Wezi kwa utapeli, waganga na wachawi , wapiga deal na watawala wamejificha kwenye dini.
 
Ndie huyu inasemekana alikuwa anampa dose ya kuongeza nguvu kwenye kinywaji ili rose apige showshow bila break.
Huku akimzalilisha kingono kama mtumwa..

Watu ni mafia balaa..
 
Huyu huwa anaandaa matamasha ya pasaka, upande wa pili alikuwa anamtupia majini Rose Muhando, anamuendea kwa Msisi Tanga kumfunga nyota na kumpiga nuksi na kuichimbia nyota yake chini ya miti mikubwa ya mbuyu, visima vilivyokauka zamani, nyumba za mahame (zimekaliwa na watu baadae wakaziacha) ili watu wamkimbie, na kuchimbia nyota ya Rose katika eneo ambalo halioti kitu ili kukausha riziki za dada pendwa Rose Muhando
 
Eti promota wa nyimbo za injili ,tamasha la pasaka?
Mkiambiwa dini ya ukristo ni kiota cha kile ndege mchafu muwe mnakubali.
Wezi kwa utapeli, waganga na wachawi , wapiga deal na watawala wamejificha kwenye dini.
Dini zote watu design ya msama wapo dini ni kama kokoto la samaki linazoa kila kitu kisafi na kichafu..
 
Huyu huwa anaandaa matamasha ya pasaka, upande wa pili alikuwa anamtupia majini Rose Muhando, anamuendea kwa Msisi Tanga kumfunga nyota na kumpiga nuksi na kuichimbia nyota yake chini ya miti mikubwa ya mbuyu, nyumba za mahame ili watu wamkimbie, na katika eneo ambalo halioti kitu ili kukausha riziki za dada pendwa Rose Muhando
Kha!
 
Mjinga wewe kinacho takuwa ni kuweka mifumo dhabiti sana ya uwajbikaj, swala sio kuwapata mawaziri watatu kama Slaaa, hizi ni hadaaa za kuwahadaa wapumbavu type yako.
Hata hiyo mifumo inaendeshwa na watu
 
Huyu Alex Msama ni mjanja mjanja sana. Mbinu zake hazina tofauti na zile za mmiliki wa shule na timu ya Alliance kule Mwanza.

Na wahuni wote wanatambua fika ili uovu wao uweze kulindwa; basi wanatakia kujificha kwenye kichaka kimoja tu kinachoitwa ccm.
 
Msichokifahamu ni kwamba waziri SLAA ni MAGUFULI namba mbili, anapita kwenye njia ambayo viongozi wengi hawawezi kupita
Mwambieni huyo Slaa watu wa Kata ya uhambingeto tunataka maji kwani yeye ndio amepewa tender kwa kampeni yake ya Utapeli. Atuletee maji kwanza.
 
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.

Taarifa kamili hii hapa

====

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kujisalimisha kwa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dar es salaam akiwa na baadhi ya watu waliouziwa eneo la viwanja namba 1 kitalu 22 lililopo Kibada Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam ili kurejesha kwa wananchi eneo hilo lijengwa shule ya sekondari.

Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara katika eneo hilo Manispaa ya Kigamboni baada ya mgogoro huo kuwa wa muda mrefu kati ya wananchi wa eneo hilo na baadhi ya watu walionunua eneo la shule akiwemo Allex Msama.

Aidha, Waziri Silaa amemtaja Alex Msama kuwa ni tapeli namba 3 wa viwanja jijini Dar es salaam na tayari ameishaagiza baadhi ya maeneo anayoyamiliki kinyemela kunyang’anywa ikiwemo eneo la wazi na eneo la fukwe lililopo Mbweni Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Mwanahalisi Digital
Huyu alex msama alikuwa anatumia ukristo kujinufaisha yeye! Pongezi kwa magufuli alimvuta makende mpuuzi huyu
 
Back
Top Bottom