Amekaa muda gani huko ardhi mpaka awe na mipango miji? Wacha hizo wewe! Kwa muda mfupi tu anashughulikia migogoro mingapi? Silaa apewe maua yake! Namtaka mama amrudishe haraka kwenye hiyo wizara awanyooshe! Ndejembi ndiye angepewa wizara hiyo ya Nape!Watanzania tusiwe shallow minded, ni Nini Cha maana amefanya huyu waziri, kuvunja nyumba za watu na kuzuia kituo Cha mafuta ndio ilikuwa hitaji la watanzania, kutokuweza kuongoza Wizara yake na kuacha miji kuwa holela na yeye kutokuwa na Plan ya mbeleni Ndio tumsifie Kwa lipi!? Jamani tuwe serious
Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje. Lakini mama kama unatusikia na kufanikiwa kusoma uzi huu tafadhali TUNAOMBA (kwa herufi kubwa) UMRUDISHE JERRY SILAA W/ ARDHI Biden wamemzuia kugombea urais kutokana na matatizo ya akili ila cha ajabu hapa tz tunaje mgonjwa wa akili kuliko biden ila kuna msifu kuwa anaupiga mwingi ...ukitazama kwa makini teuzi zake utagundua tatizo kubwa sana kwenye kichwa cha huyo mjalaana ....NO LOGIC KWENYE KILA HATUA ANAYO CHUKUA NI UPUMBAVU MYUPU HADI UNASHINDWA KUMUELEWA LENGO LAKE NI NINIHASA AU ANA SHIDA GANI AU ANATAKA NINI ...mfano ni kama hapo kumuondoa waziri wa ardhi...inajenga taswila gani kwa taifa ? Kwamba anapendezwa na dhuruma ndiyo maana kamuondoa huyo waziri ?.....jibu ni moja tu nalo ni ili nililo lisema sana hapa
Kama ni mbovu je anaye mpa uwaziri kila kukicha huyo ni mzima ?Watanzania wengi wana uwezo mdogo sana wa kupima ufanisi wa kiongozi! Wanaridhika sana na kashkashi za kiongozi majukwaani/kwenye hadhara, na kuona kiongozi ni mchapakazi! Hizo mbwembwe!
Silaa ni kiongozi mbovu kabisa, msihadaike na mbwembwe zake. Hana weledi, hatii sheria, hana integrity wala consistency!
Amini, viongozi wa aina yake, walishafunga mkutano tu, hana muda tena na watu husika, anasepa kwenda kuibua lingine.
Akifuatwa wizarani, ndio wanashauriwa sasa watu waende mahakamani kama wana malalamiko.
Kiongozi sio kelele!
Biden wamemzuia kugombea urais kutokana na matatizo ya akili ila cha ajabu hapa tz tunaje mgonjwa wa akili kuliko biden ila tuna msifu kuwa anaupiga mwingi ...ukitazama kwa makini teuzi zake utagundua tatizo kubwa sana kwenye kichwa cha huyo mjalaana ....NO LOGIC KWENYE KILA HATUA ANAYO CHUKUA NI UPUMBAVU MTUPU HADI UNASHINDWA KUMUELEWA LENGO LAKE NI NINI HASA AU ANA SHIDA GANI AU ANATAKA NINI ...mfano ni kama hapo kumuondoa waziri wa ardhi...inajenga taswila gani kwa taifa ? Kwamba anapendezwa na dhuruma ndiyo maana kamuondoa huyo waziri ?.....jibu ni moja tu nalo ni ili nililo lisema sana hapaNiaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje. Lakini mama kama unatusikia na kufanikiwa kusoma uzi huu tafadhali TUNAOMBA (kwa herufi kubwa) UMRUDISHE JERRY SILAA W/ ARDHI ππ
Tukio baya lililomwondoa ni kuvamia wakazi wa CCT Morogoro na kuwatisha wananchi kuwaweka ndani bila kosa wakati wakielezea changamoto za ardhi yeye akadata kwa ujeuri wa madaraka akamfukuza mwanajeshi aliyekuwa akijieleza kwa dharau na hasira akishirikiana na dada mmoja mweupe hivi
Thibitisha kauli yako,siyo unaongea maneno matupu kama mlenda!!Silaa mwenyewe ni tapeli mkubwa wa ardhi
Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje. Lakini mama kama unatusikia na kufanikiwa kusoma uzi huu tafadhali TUNAOMBA (kwa herufi kubwa) UMRUDISHE JERRY SILAA W/ ARDHI ππ
Wwe lazima utakua tapeli la Aridhi ulie guswa na mkono wa chuma wa Jerry, sasa unatopoka kwa hasira,achaa utapeli wa Aridhi!!!Watanzania wengi wana uwezo mdogo sana wa kupima ufanisi wa kiongozi! Wanaridhika sana na kashkashi za kiongozi majukwaani/kwenye hadhara, na kuona kiongozi ni mchapakazi! Hizo mbwembwe!
Silaa ni kiongozi mbovu kabisa, msihadaike na mbwembwe zake. Hana weledi, hatii sheria, hana integrity wala consistency!
Amini, viongozi wa aina yake, walishafunga mkutano tu, hana muda tena na watu husika, anasepa kwenda kuibua lingine.
Akifuatwa wizarani, ndio wanashauriwa sasa watu waende mahakamani kama wana malalamiko.
Kiongozi sio kelele!
na mlaumu sana baba yangu kunipa jina january yani sijawai kufikisha december?
View attachment 3048771
KabisaWwe lazima utakua tapeli la Aridhi ulie guswa na mkono wa chuma wa Jerry, sasa unatopoka kwa hasira,achaa utapeli wa Aridhi!!!
I can imagine ππ₯Leo nasikia kuna sehemu walikuwa na party yao. Kushangilia maamuzi ya waziri Silaa kutolewa wizara ya ardhi.
Hoja yangu ni kusaidia wengi wenye kufurahia sarakasi za viongozi majukwaani, ukiwemo wewe!Wwe lazima utakua tapeli la Aridhi ulie guswa na mkono wa chuma wa Jerry, sasa unatopoka kwa hasira,achaa utapeli wa Aridhi!!!
Badirisha tittle mkuu, address Kwa raisNiaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani mmoja baada ya mwingine hadi kupelekea wengine kutupwa ndani. Sasa leo anapotolewa na kupelekwa wizara nyingine ni kuwapa nafasi wale wote waliokuwa washaanza kurudisha ardhi walizotapeli kabla kiama hakijawashukia waendelee nazo na pengine kuendelea kutapeli na zingine kwani aliekuwa anawapa tumbo joto kaondolewa na kupelekwa kungine.
Najiuliza, kwanini hiyo wizara ya habari asingepewa hata Mwana FA, ili Silaa aendelee kuwanyoosha wezi na vibaka wa ardhi za watu!
Anyway acha tuone mwisho wa game utakuaje. Lakini mama kama unatusikia na kufanikiwa kusoma uzi huu tafadhali TUNAOMBA (kwa herufi kubwa) UMRUDISHE JERRY SILAA W/ ARDHI ππ
Tatizo la mama ni kupenda kuamini kila aliemzunguka. Hajui kwamba kuna wengine wapo pale kwa lengo la kumuhujumu na kumkwamisha kwa namna ambayo yeye hawezi kuiona.Mama anashauriwa na matakataka! Yameoma Jerry Silaa ameyabana yameamua kumfitini kwa mama! Mama naye sijui hashughulishi ubongo?