Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
FactYule mzee aliyekuwa anajieleza kisha akamkatisha na kuita polisi wamkamate ni mwanajeshi?kwa hiyo unataka kusema yule mzee ndio ameenda kushitaki juu kwenye mfumo?
But anyway serikali yetu inafeli sana kuhamishahamisha watendaji hovyo yaani hawako strategic hata kidogo mtu ambaye alikuwa anafuatilia kwa ukaribu chanzo cha migogoro ya ardhi akawa anawashughulikia matapeli wanamtoa wanampeleka wizara nyingine ina maana kwenye Watanzania zaidi ya milioni 60 hakuna mtu wa kumuweka kwenye wizara ya habari na akafiti?
Ndio maana miaka yote tunarudi palepale.
Sasa hivi matapeli wa ardhi na nyumba wataanza kufanya sherehe
Hii sio sawa kabisa
Rais Samian sikuhizi mrudishe Jerry slaa