Kuongelea huku kwenye majukwaa nikutafuta kiki tu kwa wananchi.
Akaongelee bungeni aone kama meza zitapigwa.
Na posho pia zipunguzwe,mtu analipwa mshahara na posho za vikao wakati yupo kwenye ofisi yake.Uhuni mtupu
 

Sanamu lake lichongwe na kuwekwa makao makuu ya nchi Dodoma.
 
Hili kwA kweli liikua na bado ni jambo la aib,,,hebu nisaidieni awamu zote tokea ya kwanza,wabunge walikua hawalipi kodi?
 
Namuunga mkono Mh.Mbunge wangu......

It's a waking up call.....

Wabunge waanze kukatwa Kodi katika mishahara yao!

#NikoNaMbungeWanguMh.Silaa
#KaziIendelee
Jitahidi lakini huko CCM wenzio hawataki akili hizo. Kwanza hilo halimo kwenye ilani yenu.
 
Bora huyu lakini inatakiwa hiyo hoja yake aipeleke kabisa bungeni
 
Hivi kigezo gani kilitumika ili kusema wabunge wasilipe kodi?
This is very unfair kwa wananchi wengine. Wote tulipe kodi bila kubagua.
Si wanadai kuwa mishahara yao (wabunge) inatumika kulipia mahitaji ya wapiga kura wao, suala ambalo halina ukweli wowote. Hawana aibu hata kusema wapiga kura wao huwafuata mpaka bungeni kuwapelekea shida zao.
 
Nimependa hapo kwenye parandesi

Vikiliwa vya Mwali nadhan hapa anazungumzia k bila Shaka bas muoji atest na k ya kungwi pia Kama kwel kungwi alikuwa na viwango vya kumfunda mwali

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bwana mdogo muhuni sana anatumia kigezo cha kodi ili kudai kupanda mishahara ya wabunge apo lazima watadai mishahara ipande kwanza ili waweze kulipa kod
 
Wanafiki wakubwa hawa, wakiwa bungeni wanakaa kimya wakija huku nje wanabwabwaja
 
Wanafiki wakubwa hawa, wakiwa bungeni wanakaa kimya wakija huku nje wanabwabwaja
Kwani alipoliongelea hapo HATASIKIWA NA WABUNGE WENZAKE?!!

Hayo ni maandalizi ya KULIONGEA BUNGENI.....

It's a waking up call....

#HayaNdiyoMambo
#NchiKwanza
#KaziInaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…