Maneno haya alitakiwa ayaseme Spika wa Bunge Muheshimiwa Job Ngugai na sio Mbunge kama Jerry Slaa. Kifupi ni kwamba nafasi ya hii kauli ni ya Ndugai.Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi...
Lolote lawezekana chini ya Jua, kwani wao wana uspesho upi wa kutokulipa kodi?Kama ilishindikana kipindi cha awamu ya tano, haiwezekani katika awamu hii.
Hata up upinzani wakiwa bungeni hawajawahi kukataa posho na hawajawahi kutamka kuhusu kodiNow we are talking ......... We finally, found someone who has the courage to speak it out!!
Sasa akaongelee hili swala bungeni ..... Ila nafikiri mpaka sasa atakuwa amepigiwa simu na akina Ndugai kumpiga mkwara!!
Upinza kwa miaka 10 waliyokaa bingeni hawakuwahi kulizungumazia hili , iwe posho au mishahada wote walikuwa wanaungana hapa si ccm si cdmAngalau huyu kaongea kitu kizuri. Waongezeke wabunge kama hawa wanaofikiria vizuri. Sio sabufa ana bwatuka tuu pwaa pwaaa
Awamu ya tano chini ya Magufuli, ukusunyaji wa kodi ndo kilikuwa kipaumbele, nashangaa kwa nini wabunge hawakuguswa.!Lolote lawezekana chini ya Jua, kwani wao wana uspesho upi wa kutokulipa kodi?
Ondoeni upumbavu wenu. Kitu kidogo tu mnasifu kupitiliza. Ujinga mtupu.DUNIA imezoeaa mpaka mtu afe ndiio akumbukwe kwa MAZURI
Kwa Mara ya kwanza
WATANZANIA tutamkumbuka kija a WETU MH J.SILAA Kama mzalendo mwenye UCHUNGU na nchi yake kwa kuomba WABUNGE wote wakatwe Kodi KIla malipo wanayopokea...
Usikubali.hako.kamchezo mkuu at list ufikshe 75 utahurumiwa ulikuwamzeeUzalendo wa kweli ni kuwa tayari kutatuliwa marinda kwa maslahi ya linchi lako
Duuuh😲😲 🤣🤣🤣YALE MAZURI MTU ANAFANYEA AYAONE MEMA ALIOFANYIWA AKIWA HAI
KWA MANENO YA KIJANA WA UKONGA MH JERRY NAPENDEKEZA MH NDUNGAI MUANGALIE HILI...