sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Msumari wa inchi 12 umewapasua vichwa wabunge kwishnei,hawana hoja wamegeuka magalasa,kwani yule dodoki alipokuja na tambo za kodi za solidarity, hakujua kumbe ameingia choo cha kike.Mkuu angalia saini za mama kwenye sheria ZAO
Kuwalima Kodi hawa lazima waidhinishwe kimaandishi hakunajinsi...
Kumbe kauli yake imewafunua wananchi kutambua kuwa mbunge ni mzigo na labda bila watu hao tutapunguza mizigo isikiokuwa lazima.
Mwana kulitafuta mwana kulipata.