Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

H
Hizi zimeshapitwa na wakati. Tayari Jerry slaa ameshazijibu kwa mda mfupi sana. Unaona Shivji alivyofyata mkia? Jerry slaa kiboko ya wenye njaa kali
 
Kwa hiyo hataki wenye bandari kavu wanufaike kama yeye anavyonufaika na sitting allowance bungeni?
 

Huyo wa kulia mstari wa mbele kafanana kweli na Jerry Silaa na faiza Foxy kafanana kweli na yule bi Ajuza pale nyuma!

Kusema kweli hatuna Wabunge, huyu zezeta naye eti katoa ujumba mzito. Mbona sioni kichwa cha kubeba ujumbe mzito?
 
Sasa kwanini mlipeleka makubaliano bungeni badala ya mikataba?
usiwe mjinga, swali halijiwi kwa swali. Jibu:

Mkataba upi unaouongelea, wakati hakuna mkataba wa kuendesha bandari. Kuna makubaliano ya IGA, unafahamu IGA ni nini?
 
Kesho utamskia 'yule mwovu' akimwandama Jerry!
Tusali wa Tz Mungu atuonfolee huyu shetani aliyetuingia hadi binadamu wenzetu wanafanya OUVU uliokithiri!
 
Elimu ya Tz inamatatizo au ni aina ya watu tulionao?
 

Attachments

  • IMG_1261.MP4
    632.6 KB
Hakuna biashara duniani isiyokuwa na changamoto.
Changamoto siyo hasara.
Changamoto ni hali ambayo huwa inajitokeza kwenye maisha ya kila siku ya binadamu kwa nia njema tu ya kutaka kuiona akili ya mwanadamu. Kwa hiyo changamoto siyo hasara wala siyo tatizo isipokuwa ikiachwa bila kutatuliwa, ndiyo pale ambapo huwa inapata fursa ya kubadilika na kuwa TATIZO
 
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hakika kama uliwahi kufanya biashara yoyote.
 
Sina hakika kama uliwahi kufanya biashara yoyote.
Hasara ni TATIZO, siyo changamoto. Changamoto ni kile kilichoanza kutokea KWANZA kabla ya hasara KUTOKEA, yaani kile kilichosababisha hasara kutokea. Mtu hahitaji kuwa amefanya biashara kulielewa HILI. NA Kama kwa uelewa huu wewe ULIWAHI kufanya biashara, basi unaweza kuwa ULIKUWA huna baadhi ya VITU VYA msingi sana.
 
Kuna makosa makubwa sana yanafanywa,Kila mtu kuamini kuwa ni bora Zaidi ya mwingine.
Wanaotetea mkataba lazima wakubali kukaa chini na wanaoupinga Ili kupeana elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…